Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42. Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75. Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103" Mwaka 2010 Wabunge 48...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
MBUNGE wa Nzega, Dk.Hamisi Kigwangalla (CCM), anadaiwa kuliibia taifa kwa kutumia vibayamisamaha ya kodi ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha afyaeneo la Uchama, wilaya ya...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII ANAHUSIKA NA ULAJI WA PESA YA ZILIZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KWENYE NYUMBA ZA SHIRIKA HILO BURKA ARUSHA. Ukifika Arusha mjini kama unaelekea sombetini au...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona hizi T-shirt za Sihitaji kura za wafanyakazi ziko mitaani Wapi zinapatikana? Mwenye Taarifa Jamani... Picha na Saidi
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Wakuu wana JF, Heshima kwenu! Nimetafakari sana juu ya taasisi hii nyeti na moja ya mihimili wenye nguvu sana huu wa dola yaani Bunge na nikaona ipo haja ya kuwashirikisha katika haya mawazo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari...
4 Reactions
126 Replies
9K Views
Hata mtoto anapofanya vizuri apongezwe lakini vilevile anapofanya vibaya aonywe. Nimekuwa nikifuatila mijadala mbalimbali ktk mitandao ya kijamii, Twitter, Facebook, Jamiiforums nk. Tatizo moja...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
akiongea katika shrehe za mei mosi rais Kikwete amesema hakuna anayejua chanzo cha udini hapa nchini pengine alikuwa anawajibu wale wanaodai yeye ni kinara na mhasisi wa udini, na wenzake akina...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Wadau hebu tuangalie hili poem jinsi linavyoreflect realities in Most of African Countries particularily Tanzania yetu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na tetesi za kuwepo kikao cha dharula cha ndani cha wabunge wa CCM usiku huu kwa lengo la kutaka kujadili namna ya kutumia Bunge ili kumsafisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahaman Kinana...
13 Reactions
292 Replies
21K Views
Najua mnaumia sana jinsi tunavyofanikisha kuleta maendeleo kwa wat wa Nzega.Halmashauri zote nchini huwa zina bajeti ya'capacity building' sema huwa hazipati pesa kwa ajili hiyo. Capacity building...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo nimebahatika kuhudhuria misa ya kuwekwa wakfu askofu msaidizi wa jimbo katoliki Dar mhashamu TITUS JOSEPH MDOE.Kabla ya kuteuliwa kwake na baba mtakatifu Benedicto wa 16 mwezi Februari 2013...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA KUWA WALIOKO MADARAKANI WENGI WAO WAMEHARIBIWA NA RUSHWA NA KILA NAMNA YA UBAYA, MTU ANATAFUTWA WA KUFORMAT NCHI HII ILI VIRUSI WOTE WAFE NA IANZE UPYA.:whoo:
1 Reactions
13 Replies
2K Views
wanabodi heshima mbele .... Naomba niwaletee update za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei Mosi ambayo kitaifa yanafanyika katika uwanja wa Sokoine jiji Mbeya. Watu wameshaanza kuingia na...
5 Reactions
143 Replies
14K Views
Mzee wetu nakuomba sana kama unamawazo tena kugombea urais kwa tiketi ya CCM nakushauri futa mawazo hayo.watanzania tunakueshimu sana husijeukachafuwa cv yako kwa wananchi sababu miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya JK inaamini uchawi kupitia kwa waziri wake wa mambo ya ndani Nchimbi, kasema haya wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Maliasili na utalii. Tumezoea kuambiwa serikali haiamini uchawi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema na Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema leo ameanza rasmi kazi ya kusambaratisha CCM Arusha. Lema ambaye ameamua kutembelea kata zote za Jimbo la Arusha kabla ya...
13 Reactions
119 Replies
9K Views
Akiendelea kuchangia bungeni hivi sasa, Mbunge wa Simanjiro Mh Ole Sendeka amesema kuwa vijembe vya kambi ya upinzani kwa kinana ni matokeo ya ziara ya kinana aliyoifanya Mororgoro hivi majuzi...
0 Reactions
94 Replies
9K Views
Kwa mtazamo wangu naona kiti cha Spika kimeyumba sana katika suala zima la utoaji maamuzi ndani ya Bunge.Ni dhahiri Spika Makinda anasukumwa zaidi na hisia katika maamuzi yake,Hasa hisia za...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Wanabodi Nimepata taarifa za uhakika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anahangaika kumbambikizia Lema kesi ya mauaji,hivyo amelazimisha mambo mawili 1.Chuo kufungwa ili kuficha ukweli,hata hivyo...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Back
Top Bottom