MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini, (Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Wakuu,
Niwatakieni heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani maarufu kama MayDay.Ni siku ambayo inamhusu kila aliye mfanyakazi,awe mbunge ama mtumishi wa sekta binafsi.Ni siku ya kujipima kama...
Waziri katoa sababu kuwa wadau (waajiri) wa sekta binafsi hawajakaa kujadili kima hicho cha mishahara,poleni wooote mliondamana.HII NDIO CCM,na HAO NDIO MAGAMBA!
Wanabodi heshima kwenu wakuu !!
Nimefuatilia mijadala mingi hapa JF kuhusiana na hotuba ya kambi ya upinzania iliyosomwa rasmi bungeni na Kamanda Mchungaji Msigwa. Nimesikitishwa sana na baadhi...
JUMATANO, MEI 01, 2013 07:58 NA ESTHER MBUSSI
*Ofisi ya Spika yatuhumiwa kufuja fedha za Bunge
*Yadaiwa kutoa hongo za safari kwa makamishina
*Dk. Kashililah aikingia kifua, asema haina doa...
MTAZAMO KUHUSU VIDEO YA LWAKATARE
Nikiri kwamba uwepo wa hii video wa kinachodaiwa kuwa CHADEMA kupanga mauaji ya raia umeumiza sana moyo wangu wa utanzania.Yawe ni mambo ya kupangwa au...
Akizungumza kwa sauti ya chini baada ya kuwaambia waandishi waliokuwamo ukumbini kutochukua tukio lolote mbunge wa Shinyanga na naibu waziri wa madini Steven Masele amedai kua CDM ndiyo...
:whoo:KWA KUWA WALIOKO MADARAKANI WENGI WAO WAMEHARIBIWA NA RUSHWA NA KILA NAMNA YA UBAYA, MTU ANATAFUTWA WA KUFORMAT NCHI HII ILI VIRUSI WOTE WAFE NA IANZE UPYA.:whoo:
Wadau nafatilia sherehe za mei mosi mbeya kupitia tbc,nimewasikia viongozi wengi wa serikali na vyama vya wafanyakazi waliotoa salamu za mei mosi wanamuita mama salma kikwete "mheshimiwa" je ni...
Aljazeera - Loliondo April 30, 2013
It is easy for outsiders to be romantic about the Maasai. The proud herders, dressed in traditional "shukas" and extravagant beaded earrings and necklaces...
CCM na serikali yake wameshikilia hija moja tuu katika hotuba ya kambi ya upinzani, niwakumbushe tu kuwa hoja hujibiwa kwa hoja
(Kutokana na hoja na ushahidi ambao tumeueleza hapa, Kambi Rasmi...
Dkt Kigwangallah (Mb) atuhumiwa kufuja misamaha ya kodi
01/05/2013
Screen-shot kutoka kwenye ukurasa wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Habari iliyonukuliwa hapo chini kutoka...
Leo katika maadhimisho ya mei mosi amesema deni la PSFP tsh trilioni 6 lisiwatie hofu wafanyakazi kwani,wakati mfuko unaanzishwa serikilai ilitoa tsh 10bilioni,na sasa wameamua kila mwaka walipe...
Wanajukwaa wenzangu nimekuwa nafuatilia kiukaribu sana kuhusu tuhuma ambazo Mh. Peter Msigwa alizisoma katika ripoti ya Wizara Kivuli ya Maliasili na Utalii na jinsi Kiti cha Spika kilivyouendesha...
mwanyekiti wa chama cha NCCR-MAGEUZI na mbunge anatarajia kuelekea kufanya ziara wilayani kahama na mkoa wa Shinyanga kwa ujumla katika harakati za kizalendo na kuimarisha chama, ziara hii itabeba...
Kwa kuwa ccm iko taabani kisiasa kilichobaki ni heri tukose wote au tufe wote,
kwa jinsi nilivyo wastudy ccm, baaada ya kufanya mauaji kadha wa kadha na kuwateka na kuwaumiza wale wanaoonekana...
Ni vema TAKUKURU mkawa update,KIZAZI CHA TANZANIA YA BAADAE KINACHAKACHULIWA,kuna chama siasa Tanzania kimeingia vibaya kwenye siasa za wanafunzi wa vyuo vikuu.KINAWAHONGA PESA NYINGI WANAFUNZI...
Wana JF,
Mtakumbuka kuwa RC wa Mtwara alikataa kupokea maandamano ya wana-kusini kwa kauli kwamba hawezi kupokea maandamano ya wahuni. Hali ilipokuwa tete baadaye alikuja kuwataka radhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.