ushauri kwa Salim Ahmed Salim

ushauri kwa Salim Ahmed Salim

black and white

Senior Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
102
Reaction score
26
Mzee wetu nakuomba sana kama unamawazo tena kugombea urais kwa tiketi ya CCM nakushauri futa mawazo hayo.watanzania tunakueshimu sana husijeukachafuwa cv yako kwa wananchi sababu miaka uliyoitumikia ccm ni mingi kuliko hutakayo itumikia kama utaweza kupata kiti uraisi na nauwenda ukawa chambo ya kuipoteza ccm sbb wananchi wamechoka na ccm itakuwa haibukubwa kiti cha uraisi kichukuliwe na upinzani mikononi mwako .ccm inanuka kila kona na mbaya zaidi viongozi wenyewe wamejawa na uchu wa madaraka.mzee wangu husije ukanunua kesi ambayo haikuhusu ccm imechoka na imechokwa.salim siyokama wewe ni msafi sana la hasha kumbuka skendo zilizo jitokeza kipindi cha kura za maoni kuwania nafasi ya uraisi ccm 2005 ambazo zilitolewa na wana ccm wenyewe.mzee uchafu unaomkubwa ila umefukiwa na history sbb mengi uliyoyatenda wananchi bado tulikuwa hatujaamka ila husijidanganye kwamba hayajulikani yako wazi na watu wanayajuwa ila kwa heshima uliyonayo watanzania wamekaa kimya.hachana na siasa maliza maisha yako ya duniani kwa amani na watu waweze kukumbuka mazuri yako .naamini umri uliyobakiza duniani ni mdogo kuliko umri uliyoishi hapa duniani.sasa ni huu kamkiya kakuletee kashfa na kakuchafulie historia yako yote.naamini utakuwa umenielewa.
 
Dah wewe uwe chadema au ccm wa lowass,membe naona salim anawanyima usingizi kwani amekuambia anataka kugombea urais?acheni uoga na kujihami kama ushauri kwani lazima umpe salim why usimpe malecela au wazee wengine tulia kwa amani salim hagombei ila akigombea sioni wa kumshinda!
 
Daaa Gaidi litoke jela maaana hiki kitengo cha upambanaji kwenye mtandao kimekosa kiongozi, kila mtu anatumia tu ID za chama kunya uharo mbichi.
 
Back
Top Bottom