Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Angalia picha, ujifunze kwanini hatufuati sheria, tunaumwa nini? Angalia picha toa majibu mwenyewe, Viatu vimetuzidi, tunacheza. Ahadi ya jengo ina expire hivi hivi, tunaambiwa jengo linasubiri...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
PROF Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi Tabora jana. ======
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola...
7 Reactions
148 Replies
11K Views
HATIMAYE tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, imetoa taarifa yake. Tume hiyo imebaini sababu zilizochangia matokeo hayo...
0 Reactions
116 Replies
16K Views
Wakati unateuliwa mh.Pinda nilihisi kuna mabadiliko yatatokea Tz kwa kudhani utakumbuka umetoka wapi, lakini hii inanidhihirishia kuwa hata akae nani katika uongozi wa CCM ni lazima afanye...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Anashusha historia ya mkoloni tanzania,United States of America, viongozi waliofariki Kawawa, Sokoine sasa anajitahidi kumtetea Kinana eti mwenye meli hajui abiria waliomo!swali mbona govt...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama Nchimbi, Sendeka na Shelukindomnaishi Tanzania mtakuwa mnajua jinsi majina ya viongozi wa ccm yanavyo tumikakupindisha sheria za nchi : 1) Mfanyakazi wandani (house girl) amewahi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mh. Zitto Kabwe (mpambanaji) amepewa jukumu la kuikomboa kanda ya Magharibi. Mwenyekiti Freeman Mbowe amemuagiza kupambana na kurejesha viti vyoye vya CCM ifikapo2015. CCM wameanza kupata hofu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Madam spika, Juzi tulisikia tuhuma nzito toka kambi ya upinzani zilielekezwa kwa vigogo wa CCM, na hasa zikamlenga Katibu mkuu wa chama tawala kwamba ndiye kinara wa ujangiri nchini. Hizi tuhuma...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Unajua najiuliza sana. Kwa nini kila skendo kubwa ya nyara za serikali inaishia hewani? Je, kama ilivyokuwa EPA, serikali ina mkono katika suala la nyara za serikali? Juzi tumesikia majibu mepesi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Wanabodi Kuna bahadhi ya kauli zimekuwa zikitumiwa mara kwa mara bungeni na wabunge wanaotokea Tanzania Bara. Maneno kama ya Kuhoji kuna mawaziri/naibu wangapi katika serikali ya JMT...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tamka mbele ya watanzania kesi inayowakabili kina Hassanou ya mwaka 2012 juu ya makontena mawili yaliyokamatwa hong kong, si ile ya vietnam na magogo mwaka 2009 pia kampuni yake Kinana...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Hawa hawaitakii Mema Nchi yetu hata kidogo Ikiwa kila kiongozi tutamwangalia tukiwa tumevaa miwani ya dini hatutaendelea hata siku moja. Na bahati mbaya zaidi hata dini zenyewe hatuzifahamu kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Mwanza Press Club (MPC) akizungumza na waandishi wa habari ambapo chama hicho kimeandaa harambee ya kuchangisha shilingi milioni 100,000,000/= kwaajili ya kununua mtambo wa kuchapa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna wimbo wa Richmond ulimbwa umeishia wapi? Kuna Twiga walisafirishwa wakiwa hia imefikia wapi? Kuna kelele kuwa kuna hujuma inafanyika migodini imeshughulikiwaje kujua ukweli? Kuna hili la...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Mh. Rais KIkwete, Kwanza nikupe pole kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuongoza TAIFA. Kwa miaka 8 sasa umekuwa ukisafiri mchana na usiku kutafuta misaada na connections kwa ajili ya Taifa letu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Chadema Blog: Wasomi Chadema wajipanga kuwang'oa Lukuvi, Wassira Wanafunzi 16 wa vyuo vikuu vya mkoani Morogoro, wametangaza nia yao ya kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwamo ubunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wala hakuna asiejua kwamba hivi karibuni tanzania na watanzania kwa ujumla tumeshuhudia wanyama wazimawazima tena warefu kama twiga na wengineo wakitoroshwa usiku wa manane pale uwanja wa ndege wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshiwa Sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo Sugu akawa mbunge...
2 Reactions
107 Replies
9K Views
Back
Top Bottom