Akiwasilisha risala ya wafanyakazi kwa niaba ya TUCTA,katibu mkuu Nichorous Mgaya amesema kuwa kumekuwepo ongezeko kubwa la tofauti ya maslai ya wafanyakazi wa kada mbalimbali nchini."Waajiliwa...
HATUA ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, kukanusha kupitia mitandao ya kijamii tukio la kunusurika kuuawa kwa bastola, Shida Salum, mama mzazi wa...
Hofu ilatanda ndani ya jeshi la polisi usalama wa taifa na kujulishwa RC kuwa itakuwaje jinsi ya kumpeleka G Lema mahakamani kwa makosa ya kutengeneza. Mwanasheria wa mkoa na wilaya ya Arusha...
Je, haya mabaraza yanajadili nini?
Je, yatajikita kwenye hiyo draft ya Tume inayotoka wakati wowote kuanzia next week?
Je, yatatunga draft nyingine zaidi ya ile ya tume kiasi kwamba itakaporudi...
Ndoto yangu ya kusadikika imekuwa inanisumbua kwa kiasi kikubwa sana na kusababisha nipachikwe majina mengi likiwamo la "The day Dreamer".
NINGEPENDA JAPO KWA KIFUPI NIJARIBU KUWASHIRIKISHA...
Mh. Mbowe ametoa waraka huu kupitia TANURU LA FIKIRA la facebook.
Ni maneno ya busara, lakini najiuliza. Hivi kwanini Mbowe na SLaa siku hizi wameikacha Jamiiforums, badala yake wanatumia...
Arusha Mambo inarusha moja kwa moja matangazo ya Sikukuu za Mei Mosi za nchi za Tanzania na Kenya na tutajitahidi uweze kusikiliza hotuma zote za Marais wa nchi Hizi, Uhuru Kenyata - Kenya na...
TUHUMA za matumizi mabaya ya fedha za Bunge na upendeleo kwa baadhi ya wabunge zimeanza kuiandama Ofisi ya Spika wa Bunge. Spika wa Bunge, Anne Makinda, ametajwa kwa jina kuhusika katika tuhuma...
Serikali ya Chama cha mapinduzi (Che Che Me) inahusika kwa kiasi kikubwa na vifo vya watoto wachanga na wengine wanaopata ulemavu unaotokana na magonjwa yanayozuilika kama kupooza na kifua kikuu...
KWA KUWA WALIOKO MADARAKANI WENGI WAO WAMEHARIBIWA NA RUSHWA NA KILA NAMNA YA UBAYA, MTU ANATAFUTWA WA KUFORMAT NCHI HII ILI VIRUSI WOTE WAFE NA IANZE UPYA.:whoo:
Venezuela MPs in punch-up over disputed electionAdvertisement
The mass brawl left several members of parliament with cuts and bruises
Fistfights have broken out in Venezuela's parliament over...
Mheshimiwa Rais, hii ni barua yangu ya kwanza kwako iwe ni ya wazi ama kificho.
Nikiwa ni raia wa Tanzania ambaye sikuchagua kuzaliwa Tanzania kama vile ambavyo nawe ambavyo hukuchagua...
Eti KATIBA MPYA IZINGATIE USAWA NA HAKI KWA TABAKA LA WAFANYAKAZI.
Hivi hii ndo kauli mbiu inayo paswa kutolewa na wafanyakazi au serikali?. wakati huohuo wafanyakazi wanalalamika mishahara...
Kikwete ameshindwa kuwahudumia wafanyakazi akidai serikali haina hela wakati wezi na mafisadi amewakumbatia ambapo wanamiliki katika utajiri wao bageti km kumi za tanzania kisha anawachekea tazama...
"Nidhamu ya kazi, ni msingi,
wa mafanikio mema kaziniee,
viongoozii, na wafanyakaziii,
lazima wote tuwe na nidhamu...."
..Migogorooo, na migongano,
ya kazini ni ukosefu wa nidhamu
WEDNESDAY, MAY 01, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameelezea kushtushwa na kusikitishwa kwake na taarifa za kifo cha aliyekuwa Mweka Hazina wa...
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri, ni kuwa wakati Kikwete anawania urais kwa mara ya kwanza, suala la makato ya kodi za mishahara kwa wafanyakazi lilikuwa limebebwa sana na vyama vya wafanyakazi...
Wakuu,
Mwl Nyerere (Hayati) katika kipindi kilichorushwa na ITV usiku huu ameelezea kuwa TANU hakikuwa chama cha makaratasi wala chama cha ofisini bali kilikuwa ni chama cha barabarani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.