Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Martin Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
582
Reaction score
184
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyu bila shaka atakuwa ni mfuasi wa Alshababy, mbona ana vitisho sana? Anazani hizi ni enzi za serkali kushika hatamu? Huyu dreva maroli hatumuelewi kabisa.
 
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.
 
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.

mimi naona aniteue mimi nije kunyoosha mambo hapo!!
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Anajua kuwa waandishi wa habari na nyenzo zao Radio,TV,Kamera,Kalamu wakiamua yeye na KIkwete hawadumu hata masaa 24 watakuwa wameangushwa,hivi huyu mbona hana elimu ya mawasiliano kabisa
 
I don't know kwanini mkoa
makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama
huyu...Mr President should think twice and replace him
immediate.

Unaweza kuta huyu jamaa yuko SMART kuliko huyo Mr President wako... Sasa jiulize kama huyo jamaa yuko smart kuliko mr president, what do you expect....
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
usishangae huyo jamaa ni mjinga na zaidi mshamba. anadhani yupo kwao Majita.
 
Kwel jamaa anabit,ila usishangae kila siku anachezea makofi kutoka kwa mkewe...embu mjambisheni kama hatoki nduki....
 
Mi naona Lema ndio awe mkuu wa mkoa....Sipati picha babake....maandamano na mikutano ya hadhara kila kukicha ,kudadeki...
 
Nimeamini wakuu " this goverment is impotent kuanzia bosi wao hadi watendaji wake wa chini".
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

cha cha cha cha cha eeh emb ngoja tutafahamu
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi [/QUOTE]

Kumbe Mkuu martin jr na wewe ulikuwepo!

Aisee...Nilidhani ni peke yangu nimemsikia vibaya!...Huyu jamaa analazimisha watu wamfanyie mambo yasiyofaa hapa Arusha!...Ni mambo gani hayo anayojua wanahabari watafanyiwa, au kutesa waandishi ni sera yao nini!
Magesa nakushauri unapokuwa kwenye Public pima maneno unayoongea, coz uongeaji wako sooner or later utakugharimu.
 
Ht mm nina shaka kwamba hayuko timamu!na kwa ushauri wangu km daktari apatiwe likizo akapumzike japo kwa wiki 3,amepata mshtuko wa akili baada ya kuzomewa hule chuoni,so km mr. President anapita pita humu plz mpe likizo vinginevyo atambwela sana
 
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.

Mkuu usilalamike, kwani haikuwa bahati mbaya kwa Magesa Mulongo kuwa Mkuu wa Arusha. Ni mpango wa Mungu kutuonyesha rangi halisi ya Serikali ya ccm.
CCM ni majangili, majambazi, wauaji na mafisadi
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

hebu tuletee ushahidi, tumfanyie kazi, habari zisizo na evidence zina shida,
 
Niliposikia hayo maneno nilishangaa sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom