Ikiwa kila kiongozi tutamwangalia tukiwa tumevaa miwani ya dini hatutaendelea hata siku moja. Na bahati mabaya zaidi hata dini zenyewe hatuzifahamu kwa kiwango kizuri ukilinganishana na hao...
Kwa ratiba ya Tume ya Katiba mpya inayoongozwa na Justice Joseph Warioba, leo ndiyo siku ya kwanza kuanza ku-print draft ya Katiba mpya.
{SOURCE: RAIA MWEMA: February 06, 2013, pg. 2}
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA
MWAKA 1977
(SURA YA 2)
________
KANUNI
________
[Zimetungwa chini ya Ibara ya 89]
_______
KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE, TOLEO LA 2007
_______
...
ni bora kuwatetea tembo na wanyama wengine wanaopigwa na wasioweza kujitetea..,mtu anaweza kujitetea mwenyewe.,hotuba ya malisasili inaelezea mafanikio na matatitizo yaliyosheheni katika wizara na...
Nafikiri wana JF tumepitia kwa kina na kujadili pia juu ya sakata la Pembe za Ndovu naomba tulinganishe Kauli hii ya waziri Nchimbi na hali halisi ya matukio haya je vinashabihiana?
Dk Nchimbi...
Wananchi wa Arusha na Viunga vyake mnakaribishwa kwenye mkutano wa Hadhara utakaofanyika viwanja vya Ngarenaro Shule ya Msingi kesho tarehe 2 kuanzia saa nane mchana. Mambo mbalimbali yatajadiliwa...
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akisema kuwa chama chake sasa hakitawapokea na kuwapa nafasi za uongozi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wana JF habari za usiku,
Imekuwa ni desturi ya CCM toka mwaka 2005 kuiba kura, mwaka 2010 ndo kabisa na watanzania tukaombwa kuwa watulivu na viongozi wetu wenye wervu wa CHADEMA na kuahidi kuwa...
Wanajamvi siku 2 sasa zimepita toka Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba atoe tamko mbele ya waandishi wa habari na akisisitiza kauli yenye utata na giza nzito ya kwamba Tume yake itafanya...
Asenga Abubakar
ALAA KUMBE MCHUNGAJI MSIGWA UNAMKASHIFU KINANA KWA SABABU HII!!!
mara baada ya bunge jana tulikuwa vijana wa UDOM kama 4 hivi karibu na fifty six hotel dodoma,mchungaji...
Kwa muda mrefu kati ya watu ambao wamekuwa na rekodi ya kulilia nchi au kupigania Tanzania ni Jaji Joseph Sinde Warioba na Prof.Mwesiga Baregu hawa watu wamekuwa katika utumishi wa umma kwa muda...
Dk Nchimbi ajibu mapigo
Akijibu tuhuma hizo, Waziri Nchimbi alisema: Ukiona mtu anasimama na kuamua kusema kuwa hakuna kinachofanywa na wizara kuhusu masuala ya ujangili, ni wazi uelewa wake...
Nimeiskia hotuba ya JK ya Mei Mosi haswa kuhusu suala la amani. Hivi kweli hajui kwamba hakuna anayechukia amani na kwamba amani siku zote hujengwa kwa misingi imara ya haki na utawala bora?
Kama...
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema ujangili wa tembo ni janga la kitaifa na kuitaka Wizara ya Maliasili na utalii kumwomba Rais Jakaya Kikwete msaada wa...
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bara, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maonesho ya kukuza vipaji kwa wasanii chipukizi yanayotarajiwa kufanyika Hoteli ya...
Mabango yaliyosisimua wasomaji katika maandamano ya wafanyakazi mbeya ni kama ifuatavyo;
WALIMU WALIKUJKA NA MPYA KWA KUSEMA " FUKAMA KWA MAANA YA " FUNDISHA KADIRI YA MALIPO"
PUNGUZA MISHAHARA...
Chama Cha Deokrasia na Maendeleo kwa sasa tayari kimeifilisi CCM kisiasa, haina hoja yoyote madhubuti na kilichobakia ni kudhibiti na kupigana kuisambaratisha CHADEMA. Kauli za viongozi wake kama...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo leo katika sherehe za sikukuu ya wafanyakazi, amerekodiwa akisema waandishi wowote wenye kupotosha habari, na kupingana na serikali wajiandae kwa roho zao...
Tuhuma za meli za Kinana kujihusisha na maliasili zetu umeanza kitambo. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010, ndugu Kinana alishutumiwa kwamba meli zake zimetumika kusafirisha magogo toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.