Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Wana Jamvi; Nimebahatika kuona tamko la viongozi wa Dini ya Kikristo kwa Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wake na viongozi hao tarehe 23.04.2013. Naleta kwenu kama lilivyo ili kuona namna...
20 Reactions
208 Replies
17K Views
Utendaji mbaya wa wachapaji wa bunge umepelekea page 2 za hotuba ya Lissu kukwanyuliwa pasi taarifa kwa wabunge na Lissu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ccm wanapambana katiba mpya itakapo kamilika isiwe na kipengele cha kwenda kupinga ushindi wa raisi mahakamani na hili liko wazi...ndo maana wanapambana kwa njia zozote zile lifanikiwe kwa sababu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA sasa ni zaidi ya chama kikuu cha upinzani nchini. Bungeni ikiwa na Wabunge 48 ambao ni sawa na asilimia 13.445 ya Wabunge wote 357,inafanya mambo makubwa. Inabuni,inahoji,inajenga hoja na...
19 Reactions
130 Replies
8K Views
Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
NIlitaka kuandika kwa kirefu lakini nimeonelea niandika kwa ufupi tu: Mahakama itatakiwa kufutilia mbali kesi ya Lwakatare na Ludovick mara moja. Wahusika mbalimbali wa kesi hii (wengine...
64 Reactions
181 Replies
14K Views
Tundu Lisu aomba mwangozo lakini Makinda agoma asema hayumbishwi na hoja hivyo na asipindishe maneno yeye Makinda ndie anajua kila kitu.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
BAADA YA LISSU KUANZA KUTOA TAARIFA ZA ROSE MIGIRO , MAKINDA AKAMWAMBIA INATOSHAx5
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri kivuli wa Mambo ya ndani ambaye ni Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema (CHADEMA) leo atakua hewani live kupitia sauti ya Ameica (VOA) kuanzia saa Moja na nusu usiku wa leo.Katika...
12 Reactions
80 Replies
7K Views
Dr H. Makyembe miaka michache tu iliyopita alikuwa ana haiba, heshima,ushujaa na uzalendo ndani na nje ya bunge ambao watanzania nadhani bado tunakumbuka. Tume yake iliyompukutisha Edward...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tarehe 23 mwezi aprili mwaka huu majira ya saa mbili usiku nilipokea ujumbe wa maandishi katika simu yangu kutoka kwa jamaa yangu mmoja akinishtua niangalie habari katika chaneli ya ITV. Wakati...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amewatumia salamu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela akiwataka wasithubutu kuvuruga uchaguzi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
JF......! Mimi kama mwanaCHADEMA na mdau wa elimu naomba kutoa angalizo na ushauri kwa viongozi wangu wa CHADEMA juu mapendekezo ya tume ya Pinda na msimamo/ uamuzi wa Serikali ktk kuyafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamisi Kagasheki ameendea kumvua nguo waziri kivuli wa Wizara hiyo, Peter Msigwa. Mheshimiwa Kagasheki amelaani kitendo cha Msigwa kutumia muda mwingi katika...
0 Reactions
156 Replies
10K Views
Wanajamvi, Nipo mahakamani kufuatilia mwenendo wa rufaa iliyokatwa na Dr. Kafumu (CCM) dhidi ya Mwl. Kasindye (CHADEMA). Ikumbukwe Dr. Kafumu ambaye alishinda ubunge wa jimbo la Igunga katika...
9 Reactions
82 Replies
10K Views
Ndugu zangu wanajamvi kwanza niwasalimu. Ni siku nyingi cjajitokeza hapa jamvini katika kujadili maswala mbalimbali yanayolihusu Taifa letu.Hii ni kutokana na hali yangu ya kiafya kutokuwa nzuri...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikifuatilia kilio cha CCM na wana CCM wake kuanzia majukwaani, Bungeni, kwenye mitandao na hata sehemi nyingine wanazo pata upenyo wa kuongea. Ni nadra sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi nilipata sms moja kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa Mratibu wa Mwanza Press Club (Soko) akiomba nitoe mchango wa shilingi Elfu Hamsini kama mchango wangu wa kuchangia ununuzi wa mtambo wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom