Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
WANAJF, Msiingie Mtegoni,ni vyema hili lifahamike sasa. Mosi, STOP BEN SAANANE(SBS) ndiyo kampeni na vita inayoendeshwa kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi. Kundi hili lina kazi ya kuzusha...
70 Reactions
489 Replies
33K Views
Imetoka kuwa nchi ya 182 mpk kuwa nchi ya 153 kati ya nchi 189 kulingana na takwimu za UNDP . Source;taarifa ya habari ya TBC ya saa kumi jioni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeunasa mkakati wa CHADEMA wa kuwashughulikia wabunge wa CCM wanaokisema chama chao cha CHADEMA vibaya kwa kuwashukia majimboni mwao kuwastaki kwa wananchi wasiwachague tena. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Tahliso yakemea siasa vyuoni : JUMUIYA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imekemea wanasiasa wanaojijengea umashuhuri kwa kuchochea fujo miongoni mwa wanafunzi, hadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa TLP na Mbunge wa Vonjo Mh Agustino Liatonga Mrema amekosoa hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa Jijini Mbeya katika Kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Wafanyakazi Meimosi siku ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ktk kikao cha Bunge la JMT,Baadhi ya Wabunge wa CCM wameamua kuacha kuchangia bajeti ya Maliasili,na kuamua kuwapa muda huo Mawaziri kujibu hoja za Wabunge(hasa kambi ya Upinzani)...kitendo...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF, Napenda kutoa pole kwa Mzee wetu Kinana Katibu Mkuu wa CCM kwa yale yaliyomkuta leo hapo bungeni. Ni ukweli usio fichika kuwa hata yeye alikuwa anachosubri ni suala la muda tu ili maovu...
33 Reactions
96 Replies
8K Views
MAWAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSEMA UONGO NI SERA YA SERIKALI AU NI SERA YA CHAMA CHA MAPINDUZI? JE WATANZANIA NI YEPI WATAJUWA NI YA UKWELI AU UONGO? Hali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BUNGElimeelezwa kuwa ifikapo mwaka 2020 tembo watakuwa wametoweka nchini iwapo kasiya ujangili wa wanyama hao itaendelea bila kudhibitiwa. Kwa sasa idadi ya tembo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - MKOA WA MANYARA RATIBA YA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CHAMA TAIFA MH. NDG. WILBROAD PETER SLAA TAREHE MUDA TUKIO SEHEMU WILAYA/JIMBO 5/18/2013 Kuwasili...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Siijambo zuri kwa chama tawala ambacho viongozi wake wa juu wote hakuna aliye msafi. Hii inawafanya baadala ya kushughulikia matatizo ya wananchi, kazi yao inakuwa ni kuteteana na kulindana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu wanaJF, Nianze kwa kusema nasikitishwa sana na TABIA ya VYOMBO vya habari nchini kutuhumia kwamba ni waongo tena WAZIWAZI hasa na hawa VIONGOZI wa KISIASA (kwa wiki hii tu Spika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasomi Chadema wajipanga kuwang'oa Lukuvi, Wassira Wanafunzi 16 wa vyuo vikuu vya mkoani Morogoro, wametangaza nia yao ya kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwamo ubunge katika majimbo ya...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Tanzana limekuwa taifa la watu masikini, walalamikaji na wanyonge ndani ya nchi yao kutokana na sera ingawa siyo rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, lakini ukweli ni kuwa hiyo ndio sera...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama huwezi kuangalia VIDEO basi chini hapo imehaririwa yote jisomee mwenyewe. SOURCE: Tanzania/Kenya - Where Have All the Elephants Gone? - Foreign Correspondent - ABC MOHSIN “SHENI” ABDALLAH...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Pamoja na utajiri lukuki tulionao, Tanzania imetajwa kuwa nchi ya 152 kati ya nchi 187 zilizopiga hatua ya kimaendeleo. Hii ni sawa na kusema Tanzania ni nchi ya 35 kwa umaskini duniani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sisemi natokwa na machozi, Nyerere fufuka uokoe taifa hili.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete, ametangaza neema ya kupunguza kodi ya mishahara kwa wafanyakazi nchini kwa lengo la kuwapunguzia mzigo wa makato. Kadhalika, Rais Kikwete amesema kuwa serikali itawaongezea...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
JK atengue kauli Tumepata taarifa mapema kuwa siku ya Mashujaa Tanzania 2013 kitaifa sherehe itafanyika mkoani Kagera. Rais Jakaya akumbuke kuwa kati ya Mashujaa atakaowaona ni pamoja na wale...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
''Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe ni mwanasheria, alikuwa anafundisha wanafunzi Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni 'NATURAL JUSTICE'. Mheshimiwa Spika, wewe pia ni mwanasheria...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Back
Top Bottom