Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Mh Lema amethibitisha ya kwamba ushahidi alioagizwa kuuwasilisha kwa spika wa bunge ya kwamba Rais Jakaya Kikwete ni kinara wa udini tayari ameshaukamilisha. Aliyasema haya hapo jana nilipokuwa...
12 Reactions
160 Replies
11K Views
Imekua sasa ni Jambo la kawaida kabisa kwa Wabunge wa CCM kujibu hoja za Wabunge wa Upinzani hususan CHADEMA, badala ya Serikali kujibu. Tulishuhudia juzi katika Hotuba ya Wizara ya Mali Asili na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu zanguni, Nimesoma leo kwenye FB ya Mheshimiwa ZZK kuhusu suala la gesi na maendeleo ya Lindi na mtwara nikafarijika sana kuona kiongozi wa upinzani anatoa mapendekezo kwa serikali ambayo si...
3 Reactions
154 Replies
9K Views
Suala hili sasa liko dhahiri. CHADEMA kimezidi kuwa makini mno na imara. Kimejenga mtandao na system kali, zikiwemo za kunasa siri za CCM na serikali yake ambazo kwa kweli nyingi kama si zote...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Akichangia hotuba ya Waziri wa Sheria na Katiba alianza kusema kwamba niliwahi tena kusema kuwa mimi sio mwanachama wa Chama chochote. Baada ya baadhi ya Wabunge kuanza kumcheka,akasema kwamba...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
CCM imedhamiria kotowapa watanzania fursa ya kupata katiba mpya inayotokana na maoni yao kwa kuhofia kuangushwa ktk chaguzi zijazo hivyo kumaliza enzi za ubinafsi,ufisad n.k . Ili kufanikisha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Nimekuwa nafuatilia bunge hasa wakati huu wa vyama vingi, nimebaini wabunge wa CCM wanafanya majukumu ya serikali na Wabunge wa vyama vingine ndiyo wanaofanya majukumu ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika hali isiyotegemea, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Kimewavua uongozi na Kuwatimua Uwanachama Pasco na Felex Nzala. Sababu zilizoainishwa ni wao kuwa Chanzo cha CHADEMA Kushindwa vibaya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Habari? Kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana ktk mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wanaishutumu, kuishambulia, kukosoa, kuhitaji ufafanuzi na hata hufika mahali hujenga maneno ya mzaha na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF! Leo nimekumbuka mwaka 2011 nilipokunjana na askari polisi mmoja eneo ya SOWETO, jijini Mbeya nikiwa na bango kwenda...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana JF, Nimefuatilia mjadala wa jana wa Bunge letu kati ya kambi ya upinzani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu uundwaji wa mabaraza ya katiba ya Wilaya. Imeonekana dhahiri kuwa kuna mahali...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Nimekuwa nikifuatilia shughuli zinaoendelea katika vikao mbali mbali vya bunge hapa nchini na kwakweli lazima nikiri kuwa nimejiukuta navutiwa sana na baadhi ya wabunge wanaojua kuwa wamekwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HUU MKOA NA HALMASHAURI HIZI ZINAZOIBUKA KAMA UYOGA, ZITAACHWA YATIMA…!! UTANGULIZI. Mh. Waziri mkuu, kwanza nianze Kwa kukupa pole na changamoto zinazoikabili ofisi yako na majukumu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hainiingii akilini wanaccm bungeni kukataa ukweli usiopingika,huu mchakato hauna mashiko na wanachi wa kawaida tumeshalijua na sasa wajipange kwani hatuko tayari kwa hili na linaongeza nguvu kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania inaweza ikawa ni ajabu ya 8 ya Dunia.. Kuwa na Waziri ambaye hana Wizara Maalum huku akilipwa stahiki zake zote, na vilevile bila kusahau wasaidizi wake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niliisoma vizuri sana makala ya Mzee Mwanakijiji kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana au juzi. Makala yenye kusema anatoa karipio kali kwa Chadema kuhusu haya yanayoendelea sasa. kiukweli...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Watanzania tumekuwa watu wa malumbano na taratibu ambazo haziishi! Katiba imegeuka kuwa drama kubwa wakati kila mtu akijua ni kitu gani kinahitajika kufanywa. Je Katiba mpya ya Kenya inakasoro...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Umezuka utamaduni wa baadhi ya Vijana wa Lumumba kuja JamiiForums na kuanza kutushambulia wana CCM wenye kukosoa Chama kutokana na kuzidi kukosa mwelekeo kwa zaidi ya miaka 20 sasa; Wana Lumumba...
46 Reactions
73 Replies
6K Views
Wadau mnamuonaje Dr. Salim, kwa uadilifu wake na taswira na haiba yake Kitaifa na Kimataifa haimtoshi kuongoza Nchi yetu ya Tanzania kwenye ngazi ya Urais?
0 Reactions
200 Replies
18K Views
Back
Top Bottom