Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti?
Tusubilie, nawasilisha
Wewe acha hizo; Mwandosya ni waziri chini ya Ofisi ya Rais na bajeti yake bila shaka imeishapita.
imepita bila waziri kuisoma bungeni?
Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti?
Tusubilie, nawasilisha
imepita bila waziri kuisoma bungeni?
Labda kama amehamia CHADEMA, otherwise, NOPE.
Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti?
Tusubilie, nawasilisha
wewe mtu ni mtupu sana kichwani. labda ni wale vijana wa kawambwa waandika ngonjera kwenye mitihani.
waziri asiye na wizara hasomi bajeti yoyote bungeni. yupo chini ya bajeti ya ofisi ya raisi.
kweli hii ndio Tanzania hukuna pengine Duniani
nini hakuna pengine duniani? angalia hata baadhi ya nchi zilizoendelea zina mawaziri wasio na wizara maalumu.
nini hakuna pengine duniani? angalia hata baadhi ya nchi zilizoendelea zina mawaziri wasio na wizara maalumu.
Ungetuambia hizo nchi zilizoendelea zenye wizara isiyo na wizara maalum, na kazi za hao mawaziri ni nn?
lakini pia ni akili za kitumwa kwa sababu tu nchi flani imefanya jambo flani na sisi ndiyo tufanye bila kujua ni katika mazingira gani waliamua kufanya walichokifanya.
*** mental slavery****
Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti?
Tusubilie, nawasilisha
​Acha ujuha DOMO!Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti?
Tusubilie, nawasilisha
Sina hakika hizo tetesi umetoa wapi ila naamini umetunga mwenyewe kwakua wabunge ndio wanaopitisha bajeti hivyo, wanafahamu kuwa mh Mwandosya bajeti atakayotumia tayari imepita wakati wa Ofisi ya Rais ndio maana alikuwa miongoni mwa mawaziri waliosaidia kujibu hoja za wabunge!Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe bajeti? Tusubilie, nawasilisha