Ndungu wanajamvi,
Hatimaye CHADEMA tawi la chuo kikuu Mkwawa wamefanya uchaguzi wa viongozi wa tawi watakao endeleza vuguvugu lamabadiliko katika siasa za Iringa na TZ kwaujumla. Katika...
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete anastahili sifa,mimi kama Mtanzania nampa pongezi rais Kikwete kwa kuongoza nchi katika hali ya amani na utulivu.
Kuna waliosema mheshimiwa rais hatoboi 2015 yaani...
Mwaka 2013 umeanza kwa kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA imejikuta ikijikita katika siasa...
Privatus Karugendo
LEO katika safu ya Mwanamama namzungumzia Ester Amos Bulaya, Mbunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara.
Kama kawaida, siandiki...
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la...
Ndugu zangu watanzania naomba tujadili suala hili ambalo linaonekana kushamili hasahasa kwa watanzania waishio mikoa ya mipakani lakini hususani mkoa wa Kigoma.
Ndugu Beatus Ndanyahubwi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Prof. Peter Msolla (MB) kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais.
Taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa, 03 Mei, 2013 mjini...
Siku chache zimepita watu walisema kuwa Mkapa amemponda Rais Kikwete kuwa Uongozi wake unalaumiwa kwa sababu za Udini. Kuna suala ambalo limekuwa likieta mtafaruku hapa nchini siku kwa siku...
Kwa wale wataalamu wa kufanya mchanganuo wa hesabu kama wakikaa china na kupitia idadi nzima ya wanachama hai wa CCM tangu mwaka 1961 hadi leo 2013. Kasha ukalinganisha na idadi ya watanzania...
Sat, May 4th, 2013
The High Courts Commercial Court gave one month to the parties in the commercial dispute involving Bulyanhulu Gold Mine Limited to settle their dispute involving 18bn/- rent...
Nauhakika chadema inauwezo wa kuchukua nchi bila muungano na chama chochote kile.
Lakini lazima tukubali Tanzania kuna vyama zaidi ya
15.
Mara nyingi vinajitokeza miezi kadhaa kabla ya...
CCM wanapaswa kutafuta jina lingine, maana lilianza wakati ule wa chama kimoja na wanalitumia kurubuni wajinga ili wapate kura. kuanzia mfumo wa vyama vingi walipaswa kulibadili mana hili jina...
Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.
Taarifa zilizoingia hivi punde zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga...
Ni wa kuongea na mbunge na kuimarisha chama. Itakuwa viwanja vya ngarenaro primary & secondary schools.
Makamanda Mungi, Crashwise [andaa ile magic camera] Filipo Mzee wa Rula LiverpoolFC...
Kwa mara ya kwanza katika bunge la 11 leo nimeshuhudia wabunge wote wameonesha kukumbuka kuwa wote ni Watanzania no matter what!
Leo ni bajeti ya wizara ya Ulinzi na JKT. Ni leo tu katika...
Mh. Mnyika najua kuna mgawanyo wa madaraka jimboni na nchi kwa ujumla ila napenda kutumia nafasi hii hasa eneo unaloongoza jimbo la Ubungo katika kata ya Mburahati wananchi wengi wanaitaji kadi...
Ni muda mrefu sasa kurugenzi ya habari na uenezi kupitia kwa Tumaini Makene imekuwa ikishauri wa namna ya kutumia kila fursa inayopatikana kukitangaza chama itumiwe ipasavyo, Cha kushangaza ama...
Wakuu, leo Waziri wa nchi sera uratibu na bunge anatarajiwa kutoa hoja ya kutengua kanuni za bunge ili waliosemwa vibaya bungeni hivi karibuni wapate fursa ya kujitetea bungeni dhidi ya tuhuma...
Kuna haja ya kuwaelimisha watanzania kuhusu katiba maana weingine wanafikiri ni kupata chama cha kuongoza nchi tu! hii ni hatari sana; mfano ccm kupindisha taratibu za kupata katiba kwa mslahi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.