Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi napata tabu sana kuhusu uchangiaji wa hoja kwa wabunge wengi wa CCM,wao ndio wengi na nilitegemea kwa wingi wao wangekua ni wakweli kwa serikali kama inavyo jieleza kazi ya mbunge...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo kwa shughuli zangu za biashara hapa jijini Mbeya na kwa bahati nzuri leo nimeona nisali katika Kanisa kuu la Katoliki la Mtakatifu Antony wa Padua. Wakati wa mahubiri tumesomewa tamko...
3 Reactions
104 Replies
18K Views
Zamani miaka ya tisini katikati hivi kijijini cha Makunda huko Iramba - Singida ambako anatoka Mwigulu ilitokea wengi wa wanakijiji hao walikuwa wanawaunga mkono wezi. Kulikuwa na wezi wa mifugo...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu zanguni, Nchi yetu imekumbwa na mlolongo wa matukio ya maafa siku za karibuni suala ambalo tunahitaji watanzania wote tuungane kuombeana amani na upendo na pia kuwaombea waliathirika na...
1 Reactions
193 Replies
11K Views
Matokeo ya Kidato cha Nne yaliyotangazwa na Dkt Shukuru Kawambwa yatafutwa kutokana na uchunguzi uliofanywa na Tume ya Pinda kubaini kuwa waliwekewa viwango vya juu sana kuliko ambavyo vimekuwa...
1 Reactions
106 Replies
12K Views
Habari wana JF,Mimi huwa natatizika sana na hawa wabunge hasa wa CCM unakuta anatoka ktk sehemu zenye matatizo ni balaa, lakini badala ya kuwatetea wananchi waliowatuma wanatetea chama.USHAHURI...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Habari wanabodi! Nimeamua kuanzisha uzi huu kutokana na kushuhudia fikra finyu za Mbunge wa viti maalum (CCM) aitwae Mhe.Diana Chilolo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu wana bodi ebu tujadili kimantiki, kitugani kinaifanya ccm isiwe nzuri na kushindwa kujigeuza kuwa nzuri na kupendwa? Kwakuwa hao wanachama tunaishi nao, tumeoleana. Tatizo lina kuwa wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema karibu nusu ya watumishi wa Taasisi ya Bunge ni mzigo. Aliyasema hayo jana wakati akichangia katika semina ya wabunge ya Mfumo Mpya wa Usimamizi na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha...
8 Reactions
81 Replies
8K Views
Mbunge wa Kibaha Mhe, Silvester Koka ameuziwa mbuzi kwenye gunia siku ya tarehe 04/05/2013, baada ya kuaminishwa kuwa anakabidhiwa Bendera ya CHADEMA na Kiongozi wa CDM kutoka maeneo ya Mpiji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ombi la kwanza la waleta rufani la kutaka review ya uamuzi uliotolewa na mahakama ya rufaa juu ya kesi ya Mh.Lema na kutaka isikilizwe na jopo la majaji 7 limetupiliwa mbali leo katika mahakama ya...
39 Reactions
192 Replies
21K Views
Mara kwa mara watu wanaofuatilia uwajibikaji wa rais wetu kwa Taifa lake na wanachi wake, wamekuwa na mengi ya kujiuliza? 1. Kwanini Rais wetu amekuwa mzito wa kutolea ufafanuzi kwa wakati wa...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Ili serikali yetu ikae katika mstari ulionyooka na kueleweka kwa wananchi wake kwa maoni yangu nadhani kuwa mfumo wa dictator ndo ungefaa kwa maana ya kuwa kusinge kuwepo na kiongozi hata mmoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu itakumbukwa kuwa Sheikh Ilunga alirekodiwa akihamasisha mauaji ya wakatolik na movie hiyo kuwekwa katika mtandao waYOU TUBE lakin hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa zaid ya kutoa matamko na...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nipo hapa naangalia sherehe za Mei mosi lakini nashindwa kuelewa huyu mshereheshaji ana matatizo ya kufikiri au ndio kujipendekeza kwa mkuu mpaka anaongea kauli zisizopendeza? Kwanza nilimsikia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Tangu kadhia ya matokeo mabaya ya kidato cha nne-2012 itokee,watanzania wengi tumewataka nyinyi,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa,Naibu wako Phillipo Mulugo na Katibu Mtendaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha...
2 Reactions
51 Replies
14K Views
Ndugu WanaJamvi; Kwa muda sasa kumekuwa na hoja mbali mbali juu ya uhalali wa uwepo wa Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania. Katika hili kuna, kuna pande kuu mbili zinazokinzana - wanaopinga na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF, Kuhusu sakata la CHADEMA ama ijitoe au isijitoe ktk mchakato wa Katiba mpya, ushauri wangu kwa viongozi wetu wa kitaifa uko wazi. Ninapendekeza sisi CHADEMA kusimamia kauli zetu na...
27 Reactions
207 Replies
12K Views
Back
Top Bottom