mkisyeli
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 260
- 76
Ili serikali yetu ikae katika mstari ulionyooka na kueleweka kwa wananchi wake kwa maoni yangu nadhani kuwa mfumo wa dictator ndo ungefaa kwa maana ya kuwa kusinge kuwepo na kiongozi hata mmoja ambaye ni mla-Rushwa pia kodi ambayo inatolewa na mwananchi wa kipato cha chini ingetumika ipasavyo kwa mfano angalia nchi zote ambazo zimepitia mfumo huu kama. Vile CHINA,GERMANy,JAPAN and ITALY zilivyopiga maendeleo katika sekta ya kiuchumi,kijamii na kisiasa kiujumla hivyo kama tunaitaji kuendelea na kutoka katika tabaka ambalo tabaka moja linatumia nguvu kunyonya tabaka jingine kiuchumi,kisiasa pamoja na kijamii kwa ujumla hivyo tujipange