KIBAHA ONE
Member
- Jan 16, 2013
- 35
- 22
Mbunge wa Kibaha Mhe, Silvester Koka ameuziwa mbuzi kwenye gunia siku ya tarehe 04/05/2013, baada ya kuaminishwa kuwa anakabidhiwa Bendera ya CHADEMA na Kiongozi wa CDM kutoka maeneo ya Mpiji yaliyopo katika Kata ya Mailimoja Ndg Adamu Juma, wakati Adamu Juma alifariki dunia tokea tarehe 04/10/2012 na kuzikwa tarehe 05/10/2012 katika Kijiji cha Matuli kilichopo Morogoro Vijijini.
Mhe Koka akiwa pamoja na Mkuu wa Wiliya ya Kibaha walishaniglia kupata Mwanachama Mpya ambaye ni marehemu na kuamua kutoa Tshs 30,000/= kama zawadi kwa aliyehema CHADEMA. Ukiangalia kwa umakini utaelewa kuwa sasa CCM mambo ni magumu katika Jimbo la Kibaha Mjini hadi kufikia kusajili Wanachama wapya ambao ni marehemu.
Mpaka mwaka 2015 tutaona mengi kwa Magamba.