Bunge letu linapoteza dira....

Bunge letu linapoteza dira....

ugolo wa bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
1,305
Reaction score
302
Binafsi napata tabu sana kuhusu uchangiaji wa hoja kwa wabunge wengi wa CCM,wao ndio wengi na nilitegemea kwa wingi wao wangekua ni wakweli kwa serikali kama inavyo jieleza kazi ya mbunge.

Wabunge wengi hasa wa viti maalumu ni wanafiki,wabunge wengi wa CCM wamegeuka kuwa ni sehemu ya serikali...unakuta mbunge wa upinzani anasimama na kuikosoa serikali,cha kusikitisha unakuta mbunge wa CCM povu linamtoka mdomoni na kumtetea waziri

Kwa staili hii hatuwezi kufika kama tutaendelea kuwa na wabunge kama hawa wa CCM.
 
Wabunge wa CHADEMA ndiyo waliopoteza dira kwa kutuletea story za vijiweni bungeni.

Shame on you CHADEMA. Baada ya aibu iliyowakumba kwenye hotuba yenu ya kipuuzi sijui kama mtarudia tena kutuletea story za vijiweni ndani ya bunge letu tukufu.
 
unapata tabu bure tu...hata ikiwa nzuri vipi hiyo hotuba ya kambi ya upinzani,haitapokelewa na watu wa serikali hii..kwa kukusaidia ni kwamba hakuna maneno mazuri kama ya CAG kwa kuyafanyia kazi..kama serikali hii ni sikivu....
 
941506_411322565633180_1312344154_n.jpg
 
Binafsi napata tabu sana kuhusu uchangiaji wa hoja kwa wabunge wengi wa CCM,wao ndio wengi na nilitegemea kwa wingi wao wangekua ni wakweli kwa serikali kama inavyo jieleza kazi ya mbunge.

Wabunge wengi hasa wa viti maalumu ni wanafiki,wabunge wengi wa CCM wamegeuka kuwa ni sehemu ya serikali...unakuta mbunge wa upinzani anasimama na kuikosoa serikali,cha kusikitisha unakuta mbunge wa CCM povu linamtoka mdomoni na kumtetea waziri

Kwa staili hii hatuwezi kufika kama tutaendelea kuwa na wabunge kama hawa wa CCM.

Mkuu ni kweli hatuna Bunge! Kimsingi Bunge linapaswa kuisimamia Serikali ila Bunge letu la sasa chini "Madam" limegeuka "Yaya" (Baby Sitter) wa Serikali!!! Tafakari na chukua hatua stahiki Mkuu!!!
 
Back
Top Bottom