Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya wakazi mbalimbali mkoani Arusha wameanza kuingiwa na mashaka kama kweli serikali ina nia ya dhati na uwezo wa kushughulikia suala la mlipuko wa Bomu kanisani ambalo kwao wanaamini lina...
7 Reactions
66 Replies
7K Views
HebuViongozi wa Dini someni hapa kuna busara nyingi hapa. "...lakini pia baadhi ya viongozi wa Dini wamekuwa wakitumika vibaya pale wanapofikiri na kujua kuwa Wanasiasa wanaweza kuchangia vyema...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini(TAKUKURU), inakusudia kumfikisha mahakani aliyewahi kuwa spika wa bunge Mh. Msekwa kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na ufisadi wa kutisha katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimechelewa kufungua TV yangu nikakuta habari inaishia lakini nilichosikia ni kwamba CHADEMA imeamua kwamba suala la kuendelea kushiriki ama kutoshiriki mchakato wa Katiba mpya sasa linapelekwa na...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
hii hatua tumuachie nani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkutano wa hadhara wa Chadema upo uwanja wa wajenzi karibu na sheli (Kituo cha Mafuta) mita chache karibu na kituo cha mabasi. Kama kawaida, nyomi ipo ya kutosha. Kinachojiri: &#8226...
18 Reactions
290 Replies
29K Views
Mimi ni Mtanzania halisi kabisa, na naipenda mno nchi yangu ingawa sauti zetu zinakandamizwa na hivyo nimechunguza kwa kina na hekima juu ya uwiano wa haki za binadamu, na haki hasa za raia wa...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Ndugu wanamvi napata taabu sana ninaposikia neno mstaafu kwa mtu aliyeondoka ofisini kwa tuhuma nzito sio kwamba kajiondokea mwenyewe hapana mpaka bunge likaunda tume akabainika ni mwizi leo...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Na wasalimu nyote wanajf Assalaam! Awali ya yote natoa salamu zangu za pole kwa wahanga wa bomu mjini Arusha. Kwa ufupi siku ya leo nataka kuelezea juu ya mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii forum mbio za mwenge ndo hizo zimekwisha anza huko Zanzibar na utazungungushwa nchi nzima as usual. Najaribu kujiuliza bali sipati jibu, ni nini tija ya kuzungusha Mwenge nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bombing of new Tanzanian parish surpasses other attacks: Click hapa na hapa. **************************** Arusha, Tanzania, May 6, 2013 / 08:50 am (CNA).- A top official with the charity Caritas...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu mwaka jana niliwahi kuweka uzi hapa JF kuwa watu wa imani fulani bado wanatafuta confidence ili waweze kutekeleza mauaji makubwa kama ya NIGERIA. Baada ya kuandika hivyo kuna mtu kwa...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Shirika la habari TBC1 wamekata matangazo ya bunge asubuhi hii ili waonyeshe uzinduzi wa sherehe za Mwenge. Poleni mlio kuwa mnataka kusikia kuhusu hatua za dharura zilizo chukuliwa na serikali...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
Akihairisha shughuli za Bunge jioni ya leo, mwenyekiti wa Bunge Muh. Zungu katika kudhihirisha kukerwa na kauli ya Muh. Kafulila(alipokuwa akichangia bungeni) kuwa serikali inatoa maamuzi kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Meya ampongeza Mgeja kwa kuiponda Chadema umanne, Aprili 30, 2013 06:30 Na Mwandishi Wetu, Mwanza MEYA wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata, ameibuka na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wandugu wanajamvi Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara...
3 Reactions
97 Replies
6K Views
"Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mlipuko wa bomu kwenye kanisa mjini Arusha,pia kinatoa pole kwa wafiwa na majeruhi,pia kina LAANI vikali wale walio husika na tukio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanini Hoja ya Kardinali Pengo hawataki kuizingatia? Si mara ya kwanza au ya pli kwa Mwadhama Kardinali Polycrap Pengo kutoa kauli zenye kuonya kwamba huko tunakokwenda kwa viashiria hivi si...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom