:gossip:Wazungu wanataka mafuta yetu, dhahabu yetu, uranium yetu n.k.
Hii ndio sababu ya wao kutuchonganisha kwa sababu hata za kidini ili tupigane wao waendelee kutunyonya rasilimali zetu.
Hayo...
‪Bob Marley - Ride Natty Ride [08]‬‏ - YouTube
Rub, rub, rubby-doo-day;
Rum-pum-pum a-rum-pum-pum-pum!
Dready got a job to do
And he's got to fulfill that mission
To see his...
Ama kama ilivyo kawaida,pamoja na ushahidi wa kimazingira wa awali wa tukio la mlipuko wa arusha kuonekana wazi kabisa,sitashangaa pale kesi itakapoenda mahakamani ikachukua miaka 8 na baadae...
Ndungu wana JF nimejaribu kufuatilia malalamiko ya CHADEMA kuhusu uchaguzi wa watu katika mabaraza ya katiba mpya, inaonekana kwamba kuna baadhi ya wawakilishi baada ya kupigiwa kura na wananchi...
Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Umoja wa kitaifa wa Zanzibar Maalim Seif,Habib Mnyaa na Diwani wa Kibaga kwa tiketi ya CUF Bwana Juma Mkumbi wametumia muda mwingi sana kuituhumu chadema...
Mheshimiwa Spika,
kwa mujibu wa Kanuni ya 49 (1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013, naomba kuwasilisha Taarifa yaawali kuhusu tukio la mlipuko uliotokea katika Kanisa Katoliki la...
Nina uhakika wa kutosha kabisa tu kuwa kuna watu ambmao watakuwa wamelinasa tukio hili kwenye camera zao na hawajajua bado. Ama picha za mgando (still pictures) au picha za video. Kwa vile tukio...
KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imemshtumu Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa, kwa kuandaa mapendekezo yatakayopiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa wakati ambao si wa kampeni za...
Ndugu Zangu Wana Jf Hivi Karibuni Kumezuka Masuala Makubwa Na Mazito Yanayotishia Amani Ya Taifa Letu.sitaki Kuyazungumzia Sana Haya Matukio Lakini Tujiulize Kwa Nini Tufikie Hatua Hii,je...
MONDAY, MAY 06, 2013
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wananchi wa Matui, Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara.
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara...
Hali inakuwa tete katika nchi yetu. Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejeruhiwa inasikitisha.
Source: Radio Maria
================
Updates...
1.Watanzania wenzangu hivi ni kweli huku mitaani tunakoishi udini upo?
2.Katika mitaa tunayoishi kweli tunabaguana kwa misingi ya udini?
3.Kuna dalili yoyote ya kupungua au kuathiri ndoa za...
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu...
Jana nilitazama tv zetu za bongo kuhusu tukio la arusha ,channel ten,star tv,itv na TBC kwa ukweli niliona kuwa mpiga picha wa channel ten ndiye alipata picha za tukio lile kuliko tv nyingine kwa...
Kama kuna jambo watanzania tunatakiwa kufanya sasa ni kukataa waziwazi uongo wa mchana unaofanywa na ccm wa kutuchonganisha kwa njia ya dini. HAPA HAPANA MKRISTO WALA MWISLAMU. Tukubali kuwa ccm...
Mimi nichukue fursa hii kuwapa pole , lakini niwe jasiri sana kusema ukweli kama ninyi waandishi hamtafanya editing ..
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa jambo hili limesababishwa na chokochoko za...
Tangu jana nimekuwa mtulivu sana huku nikifuatilia mjadala juu ya tukio hili baya na tunalopaswaa kulilaani kwa nguvu zote.
Hata hivyo, wakati tukitafakari juu ya kilichotokea naomba niwaongezee...
Nashangazwa sana Mkoa kama Tabora kutokuwa na Hospitali ya rufaa kitu ambacho ni sawa na kutotendea haki wananchi wa mkoa huu ambao wagonjwa wenye matatizo ya afya ambayo yameshindikana hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.