Lukuvi anawasilisha taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watajiniwa wa form 4. Na mapendekezo ya nn kifanyike.
Anasema sababu zilizotolewa ni upungufu...
Na Peter Saramba, Mwananchi
Posted Jumapili,Mei5 2013 saa 20:27 PM
KWA UFUPI
Tatizo la usalama wa waandishi wa habari nchini, lilikuwa ndiyo ajenda kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
KASORO KWENYE MCHAKATO WA KATIBA: JAJI WARIOBA ATUELEZE UHALALI WA MABARAZA YA KATIBA YALIYOCHAGULIWA
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Warioba ametoa tamko lenye utata mkubwa kuhusu uamuzi wa...
Kidato cha IV 2012 waanza kupangwa: BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limeanza kazi ya kupanga upya daraja la ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza mwaka jana na ambao matokeo...
Habari zenu wanajamii.
Jana serikali ya Tanzania ilitangaza kubatilisha matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, binafisi mimi naona kama nimiujiza fulani ambayo inanipa majibu yakuwa watendaji...
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kuhusu mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba yetu mpya na sasa tumefikia kwenye hatua ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya kata,.Hapa ndipo napoomba msaada...
HABARI KWENU WAKUU.
>Tumesikia,tumesoma na tumeelewa mambo mengi ya maana na ya mipasho katika kipindi joto hiki cha mchakato wa kuunda katiba mpya.
>Ninasimama na kipengele cha aina ya...
Ni wabunge machachari wa CHADEMA kuwa mwiba mkali kwa CCM hapo jana na kuzua tafrani hasa pale naibu spika wa Bunge kuamuru Mbunge wa Singida Mashariki mh. Tundu Lissu atolewe nje baada ya kuomba...
Sunday, May 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait City leo...
Ijumaa iliyopita Mei 3, 2013 Msemaji wa kambi ya Upinzani Bungeni Masuala ya katiba na Sheria Ndg. Tundu Lissu katika hotuba yake pamoja na kuzishutumu taasisi zingine, lakini pia alitoa tuhuma...
Kila ninapotafakali swala la heshima na hadhi ya vyombo vya dola ikiwamo polisi, tumbo linaniuma, nyongo inamwagika tumboni. Kwa miaka miwili mfululizo sasa, hadhi ya vyombo vya dola inashuka kwa...
JUMAPILI, MEI 05, 2013 06:03 NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
WAKATI baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini wakitajwa kuanza maandalizi ya chini chini kujipanga kusaka ukuu wa dola mwaka 2015...
Serikali haihusiki na mauaji ya raia: WAZIRI wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe, ametaka Serikali isihusishwe na mauaji yanayohusu suala la uvunjifu wa amani yanayotokea nchini kwa kuwa...
Katika kile kinachoonesha kuwa kuwa kuna mkakati kabambe wa kukwamisha upinzani bungeni, hivi punde Spika Makinda ame-withdraw uwasilishwaji wa hotuba ya Wiziri kivuli, Katiba na Sheria...
Ripoti ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu,Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda kuchunguza matokeo mabaya ya Kidato cha Nne ya mwaka 2012 iko hadharani.
Jana ilisomwa Bungeni Dodoma. Tume hiyo...
inasikitisha sana ila ndio sms zinazosambazwa kwenye mitandao ya simu kuwa shambulizi la leo lililenga kuwapa onyo kali wakristo hususani wakatoliki kutoshiriki katika kura ya maoni ya katiba mpya...
Katika hili lililotokea Arusha viongozi wa CHADEMA kwa haraka wamejitahidi kuonesha mshikamano katika kipindi hiki kigumu baada ya kutokea mlipuko wa mabomu huko kanisa la St. Joseph Olasiti...
Wakuu kesho tarehe 19 April katika mahakama kuu Dar es Salaa ndo siku ya kusikiliza rufaa ya bw Aeshi na mwanasheria mkuu dhidi ya hukumu iliyotengua ubunge wa bw Aeshi Chama Cha mapinduzi jimbo...
KASORO KWENYE MCHAKATO WA KATIBA: JAJI WARIOBA ATUELEZE UHALALI WA MABARAZA YA KATIBA YALIYOCHAGULIWA
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Warioba ametoa tamko lenye utata mkubwa kuhusu uamuzi wa...
WAKATI taarifa ya Kamati ya wabunge wa CCM chini ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, juzi iliridhia mawaziri wote wanaokabiliwa na tuhuma za ubadhirifu kwenye wizara zao wajiuzulu, jana Rais Jakaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.