Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.
 
ojective ni nini hapa????
upo msalani nini???????
haya hebu tulia halafu andika ulichokuwa unataka kuandika.
 
Yaani kama umefukuzwa chooni wakati ulikuwa huja maliza shida zako
 
Hapa Ndalichako anahusikaje na ubovu wa kiwango cha Elimu?
Hivi wanaomlaumu huyu mama wanajua kazi za Baraza la Mitihani?
Ninyi wote wenye kulaumu, pelekeni lawama zenu kwa Wizara husika ila sio kwa NECTA.

Mkuu, tatizo liko hapa, Matokeo yamefutwa nadhani mpaka hapo tupo pamoja. Sababu kuu ya Tume ni kuwa ulitumika mfumo mpya bila wadau kushirikishwa. Na kutokana na mfumo huo wanafunzi wamefeli. Je ni nani aliruhusu huo mfumo? Na kama ufaulu wa wanafunzi ulikuwa chini kwa maana ya baraza lipo sahihi. Inakuwaje waruhusu matokeo yafutwe? Wakati wanajua kuwa wao wako sahihi na serikali haipo sahihi? HIVYO KAMA NDALICHAKO AMEKUBALIANA NA SERIKALI KUFUTA MATOKEO SAHIHI NA KUKUBALI WATUPATIE MATOKEO YASIYO SAHIHI KWA MAANA YA KUTUFURAHISHA hafai kukalia hicho kiti, vivyo hivyo KAMA ALITUMIA MFUMO MPYA BILA KUSHIRIKISHA WADAU hafai kukaa hapo. LA SIVYO AITE MEDIA NA ATUAMBIE UKWELI ULIVYO
 
Mtoa mada nakupa tano. Ni kweli siasa imeharibu elimu yetu na bado inaendelea kuharibu.

Ndalichako tunajua udini ndio unaokupiga vita, kaza uzi fanya kazi yako kwa weledi, hata kama watakuona hufai historia itakukumbuka.
Hivi watanzania tumekuwa wavivu kufikiri kiasi hiki! Ni udini upi anaopigwa vita Ndalichako? Kwani wanafunzi hawakufeli? na sababu ni kubadili alama za ufaulu bila kushirikisha wadau? Na je sababu za kubadili alama za ufaulu nini?Mbona kila nayevurunda akitakiwa kujiuzulu wanajamii wanadai eti ni udni?! ni kweli au tunatafuta huruma za waumini wenzetu? ebo acheni hizo, ni lini mtajifungua uja uzito wa akili?:mimba::confused2:
 
“Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane na juhudi wazizoziweka katika kusoma kwa mazingira,
hali halisi ya Tanzania na uamuzi wa taifa kuongeza idadi ya shule na wanafunzi wakati uwekezaji katika ubora unaendelea,”

alisema Lukuvi.

Who is Lukuvi By the way???
Je , Kawambwa na Mulugo bado wanapeta???

Kimsingi hii ndo main Point ya Tume ya Pinda.
Serikali inataka kusema kuwa Wasahihishaji wamewaonea Watoto.
Hii ni indication kuwa NECTA na Dr Ndalichako wamekubali (Kwa Kulzimishwa) Kuubeba Msalaba wa Serikali wa kutokujali Kilio Cha Walimu.
Madai ya Msingi ya Walimu ambayo Kimsingi ndo yalipelekea Janga la Mwaka Jana
Hata waki Standardize, Wakisema C Inazia 30% Badala ya 41%, haitakuwa na Tija Kabisa.
Taifa la Wa Taalamu Feki Msingi wake ni Maamuzi ya Kipuuzi Kabisa kama haya.
 
Hivi watanzania tumikuwa wavivu kufikiri kiasi hiki! Ni udini upi anaopigwa vita Ndalichako? Kwani wanafunzi hawakufeli? na sababu ni kubadili alama za ufaulu bila kushirikisha wadau? Na je sababu za kubadili alama za ufaulu nini?Mbona kila nayevurunda akitakiwa kujiuzulu wanajamii wanadai eti ni udni?! ni kweli au tunatafuta huruma za waumini wenzetu? ebo acheni hizo, ni lini mtajifungua uja uzito wa akili?:mimba::confused2:
Wewe naona ndio ulikuwa na ujauzito wa akili bahati mbaya ume-abort.

Kama huna kumbukumbu kwa kuwa ume-abort ubongo wako ngoja nikukumbushe. Ndalichako alianza kupigwa vita toka wale jamaa walipofeli lile somo lao, yakamfikia kinara wa udini nae bila hiyana amemuundia zengwe.

Unasemaje ndalichako ameua elimu kwani yeye mwalimu, kwani yeye vifaa vya kufundisha na kujifunzia, kwani yeye ndio sera ya elimu. Elimu imeuawa na serikali ya magamba na sasa inataka kumtoa kafara Dr Ndalichako.
 
Uwe mkweli jamaa yangu kapotolo "wale jamaa" ni kweli walifelishwa na ndiyo maana walipofuatilia matokeo yalibadilishwa. na hii ndiyo jamaa wanadai kuwa kuna mkakati wa makusudi wa kufelishwa kama wasingefuatilia je? Umechakachuliwa ubongo kiasi kwamba hukumbuki issue ililetwa na ikafuliwa kwa mbali? :behindsofa:I'm able to see more poor minded people than I could ever imagine
 
nasikia ile tume imepata maelekezo kutoka ikulu,everything in the report was cooked kuinusuru serikali
 
Nakubaliana nawe 100%

mitihani imepoteza maana Tanzania, mwanafunzi aliyepata division zero serikali inapika matokeo anapata division two, serikali imeshindwa kuboresha sekta ya elimu nchini hasa ya sekondari na msingi sasa inafanya cheating, hii hali haivumiliki watanzania tuamke.
 
Who is Lukuvi By the way???
Je , Kawambwa na Mulugo bado wanapeta???

Kimsingi hii ndo main Point ya Tume ya Pinda.
Serikali inataka kusema kuwa Wasahihishaji wamewaonea Watoto.
Hii ni indication kuwa NECTA na Dr Ndalichako wamekubali (Kwa Kulzimishwa) Kuubeba Msalaba wa Serikali wa kutokujali Kilio Cha Walimu.
Madai ya Msingi ya Walimu ambayo Kimsingi ndo yalipelekea Janga la Mwaka Jana
Hata waki Standardize, Wakisema C Inazia 30% Badala ya 41%, haitakuwa na Tija Kabisa.
Taifa la Wa Taalamu Feki Msingi wake ni Maamuzi ya Kipuuzi Kabisa kama haya.

Kwanini akubali kubeba mzigo usio wake?
 
Tatizo la akili ndogo Kuongoza Akili Kubwa
 
Mkuu, tatizo liko hapa, Matokeo yamefutwa nadhani mpaka hapo tupo pamoja. Sababu kuu ya Tume ni kuwa ulitumika mfumo mpya bila wadau kushirikishwa. Na kutokana na mfumo huo wanafunzi wamefeli. Je ni nani aliruhusu huo mfumo? Na kama ufaulu wa wanafunzi ulikuwa chini kwa maana ya baraza lipo sahihi. Inakuwaje waruhusu matokeo yafutwe? Wakati wanajua kuwa wao wako sahihi na serikali haipo sahihi? HIVYO KAMA NDALICHAKO AMEKUBALIANA NA SERIKALI KUFUTA MATOKEO SAHIHI NA KUKUBALI WATUPATIE MATOKEO YASIYO SAHIHI KWA MAANA YA KUTUFURAHISHA hafai kukalia hicho kiti, vivyo hivyo KAMA ALITUMIA MFUMO MPYA BILA KUSHIRIKISHA WADAU hafai kukaa hapo. LA SIVYO AITE MEDIA NA ATUAMBIE UKWELI ULIVYO

usiwe zuzu mfumo mpya ndo kitu gani? mfumo mpya ulikuwa unasema 1+1=3? waziri alikuelezea huo mfumo mpya unafanya vipi kazi? na ulichangia vipi katika kufeli kwa wanafunzi, acheni kuleta siasa kwenye taaluma, ndio the large part of the population of this country is made up of fools, wachache tunaoelewa hatutakaa kimya tutapiga kelele.
 
Back
Top Bottom