Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

Prezoo

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
21
Reaction score
9
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari.

Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia' Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10.

Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa,

• Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013.

• Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi).

• Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo.

"Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki.

"Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka.

Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kbs!.
 
KKKT nao mbona ufisadi unawaaandama kila kukicha? Namkumbuka Askofu Jerry Ngwamba aliyefanya ufisadi na mwisho wake kuwatelekeza kondoo bila mchungaji na kuelekea ughaibuni. Sasa Malasusa naye pamoja ni joho, fimbo, pete, kofia vyote vya kichungaji lakini bado anahusishwa na ufisadi. Namkumbuka pia yule Askofu wa Iringa Askofu Mdegela naye alihusishwa na ufisadi kwa maana halisi ya ufisadi. Jamani ni nini tena watu hawa wa Mungu?
 
hilo la CT-Scan kutofanya kazi miaka 3 ni aibu kubwa sana kwa consultant hospital like KCMC,shame on you! is that a consultant hospital or a big dispensary?
 
Mkuu nakukubali hasa na changanya na Askofu mstaafu wa Dodoma Mwamasika pamoja na Marehemu Askofu Laizer (RIP)
Mimi ninachoona km waumini wanawaamini na yote wamemwachia BWANA na sisi tufuate yetu kwani Hospital za serikali zipo tusiwalalamikie hao Wakurugenzi
Na hasa Prezoo ya Kaisari tumuachie Kaisari na ya MUNGU vivyo hivyo KCMC bado ni bora kuliko Mawenzi na Muhimbili kwani mpaka sasa KCMC inapokea Wagonjwa sana na hata toka huku Dodoma wanaenda na kurudi salama, wakati hii ni ya Serikali kwa nini tusiilaum?
 
Last edited by a moderator:
Nchi inaongozwa na mafisadi na viongozi wa dini mafisadi...tutakoma
 
Duh kama ni kweli ni aibu kubwa sana kwa uongozi wa juu kabisa wa kanisa .
 
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari. Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia' Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10. Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa, • Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013. • Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi). • Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo. "Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki. "Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka. Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kbs!

Tuhuma nzito bila ushahidi zikija kugundulika kuwa siyo za ukweli, remedy kwa watuhumiwa inapatikaje?
Mods tafadhali fafanueni
 
Mkuu nakukubali hasa na changanya na Askofu mstaafu wa Dodoma Mwamasika pamoja na Marehemu Askofu Laizer (RIP)
Mimi ninachoona km waumini wanawaamini na yote wamemwachia BWANA na sisi tufuate yetu kwani Hospital za serikali zipo tusiwalalamikie hao Wakurugenzi
Na hasa Prezoo ya Kaisari tumuachie Kaisari na ya MUNGU vivyo hivyo KCMC bado ni bora kuliko Mawenzi na Muhimbili kwani mpaka sasa KCMC inapokea Wagonjwa sana na hata toka huku Dodoma wanaenda na kurudi salama, wakati hii ni ya Serikali kwa nini tusiilaum?

Mkuu Ukwaju ukisema kwamba hospitali za serikali zipo hivyo tuwaachie basi Ritz atakuja hapa na kuhoji juu ya Memorandum of Understanding kati ya kanisa na serikali. Kwa memorandum ile pesa za walipa kodi zinaingia pale na wala si sadaka peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Hizi habari zinaweza kuwa za kweli kwasababu kunajengo kwaajili ya plastic surgery tangu aondoke Prof Shayo hadi leo lipo vile vile limeishia kuota majani tu. tupiliambali ule mradi wa mabilioni ya shilingi wa MEPI.
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari. Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia' Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10. Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa, • Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013. • Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi). • Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo. "Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki. "Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka. Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kbs!
 
Ni kweli mkuu KCMC imepoteza sifa na Niliwahi kuleta uzi hapa..wenye Title kama hiyo ya kwako..
 
hilo la CT-Scan kutofanya kazi miaka 3 ni aibu kubwa sana kwa consultant hospital like KCMC,shame on you! is that a consultant hospital or a big dispensary?

Hata Bugando nadhani! Mwenye kujua kama CT scan ya Bugando imeanza kufanya kazi atujuze tafadhali..
 
Ni Aibu huyo Prof Shao wako ndiyo anafahamu siri ya kusimama hiyo Plastic surgery yako!!!
Amewabana sasa munatapatapa hiki kipindi hakuna ulaji muliokuwa munapata
 
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari. Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia’ Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10. Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa, • Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013. • Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi). • Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo. “Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki. “Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka. Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kbs!
ne

Hii hapa nyingine...
https://www.jamiiforums.com/habari-...hospitali-ya-kcmc-moshi-limebaki-jina-tu.html
 
U must be a bigot big head son of previus regime, shame on you!!!! hii article ni malicious na it has no any evidence.... Anachosema hapa ni uongo mtupu sisi tupo huku hakuna kilicho cha kweli... ukweli ni kwamba hospital inadepend on Tz goverment kwa kila supply na salary za wafanyakazi, Ukata uliopo serikalini nani ahasiye utambua!!!, CT scan inajulikana imekufa siku nyingi na pia ya Muhimbili zinahitajika kununuliwa nyingine.... na serikali inajukumu hilo

Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekunbwa tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr Moshi Ntabaye na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure , hasa kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa, wamekuwa wakitumia mbinu haramu kutafuna fedha za Watanzania kwa ajili ya kujilimbikizia,kwa namna yakufanya ukarabati wa majengo, ununuzi wa Magari ya kifahari. Chanzo cha kuaminika cha habari kimedai kuwa ufisadi huo unasimamiwa na Mkurugenzi mtendaji bwana Dr Moshi Ntabaye kwa kukingiwa kifua na swahibawakaribu Askofuu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa kuwa anatumia madaraka yake ya ukurugenzi ‘kupitia' Bahasha ya aliyompatia Askofu pindialipoingia madarakani yenye thamani ya milioni 10. Akizungumza na chanzo, kimesema kuwa kwa msukumo wa Dr Moshi Ntabaye, Hosipitali ya KCMC mali ya GSF, imeendelea kufujwa fedha. Chanzokimesema kuwa kwa mujibu wa nyaraka ambazo kimezinasa, • Deni la Hospitali lina zidi kukua kutoka Sh Milioni 5 mwaka 2010 hadi Biloni 2.9 Mwaka 2013. • Hela zilizokuwa za CT Scan kwenye akaunti ya Fix kiasi cha 1.7 Bilioni hazijulikani zilipo. (CT scan ni mwaka wa tatu sasa haifanyikazi). • Hela zilizopatikana kwa kuchangia Fundraising 2010 - 2011 kiasicha Milioni 700 hazijulikani zilipo. "Ndugu, mchezo anaofanya Dr Moshi Ntabaye, hasa kupitia majungu ya watafuta umaarufu, ni ule kutumia, kutafuta fedha haramu kwa kuwaibia Watanzania huku huduma za hospital zikizorota.huku baazi ya vipimo muhimu kama FB azifanyiki. "Sasa nikipindi cha miezi 2 sasa hakuna operation zinazofanyika kwakukosa Dawa ya Usingizi Halothane, Mask wagonjwa wanalipia opereshen.... Ila tangu j3 mwezi Machi 4 miezi 2 opereshen za general anasthesia hazifanyiki... Zinazofanyika ni za spinal anasthesia..., huku ongezeko la vifo likiongezeka. Haina mvuto kama ilivyokuaga ada yake ambayo hata mgonjwa unawezapelekwa na kutokana na uzuri wa mazingira na hata majengo hakika unapona Nyakati hii ya uongozi Dr Moshi Ntabaye yani choka mbaya kbs!
 
Mheshimiwa Dr Jakaya Mrisho Alfani Kikwete alipoingia tu madarakani alisikitishwa sana kwa UFISADI huu wa baina ya Serikali na Kanisa aliouasisi Mwl Nyerere na kuamua kusitisha Upuuzi ule wa kutoa mabilioni ya walipa kodi kwa kanisa kujiendesha katika biashara zake.

Memorandum of Understanding ni mkataba baina ya Serikali na Kanisa Tanzania katika kuchota Mabilioni ya fedha hazina na kwenda kuyatafuna na hakuna ufuatiliaji wa matumizi yale na huduma kama Hospitali na Shule bado zipo katika bei kubwaa sanaa ilihali wanachukua fedha serikalini na CAG hajawahi wakagua toka 1964 mpaka leo !

Kuna UFISADI mkubwa sana Makanisani....naskia hata Bugando baada ya JK kukata ruzuku hiyo wameeanza kupumulia mashine..

Huo ndio UGOMVI mkubwa baina ya JK na Makanisa hapa Tanzania na kwakutumia vyombo vyao wameweza kumtukana na kumuita kila aina ya jina ili aonekana hafai !
 
U must be a bigot big head son of previus regime, shame on you!!!! hii article ni malicious na it has no any evidence.... Anachosema hapa ni uongo mtupu sisi tupo huku hakuna kilicho cha kweli... ukweli ni kwamba hospital inadepend on Tz goverment kwa kila supply na salary za wafanyakazi, Ukata uliopo serikalini nani ahasiye utambua!!!, CT scan inajulikana imekufa siku nyingi na pia ya Muhimbili zinahitajika kununuliwa nyingine.... na serikali inajukumu hilo

Sio jukumu la serikali kuhudumia hospitali za kanisa yaani kuanzia Mishahara, madawa na matengenezo mengine na still wanapewa " msamaha wa kodi " !

Kwani huduma inatolewa bure ? Hivi Watanzania wana akili za namna gani ? Mapato ya kuanzia kujiandikisha mpaka dawa ( huduma kwa ujumla ) kwani zinapelekwa hazina ?

Shame on you kwa UFISADI wenuu !
 
Back
Top Bottom