BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA
KUIKATAA CCM NI KUKATAA UFISADI, UMASIKINI, UDOKOZI, UNAFIKI, UZANDIKI, N.K
Serikali ya Chama Cha Mafisadi (CCM) ndiyo muasisi na kinara wa ufisadi hapa nchini...
Unyonyaji wa wawekezaji sasa ni wazi na hata wabunge wa CCM wamelalamikia serikali yao. Inawauma wabunge wengi wa CCM ila uoga unawasumbua.......!!!! Wawekezaji wengi wanashirikiana na mafisadi...
Katika taarifa ya habari Star TV saa nne asubuhi hii viongozi wa jumuiya ya UAMSHO imekana kuhusika na vurugu za zanzibar au mauaji hayo. Imevilaumu vyombo vya habari kwa kuwachafua.
Mbona huyu mama kanyamaza sana? haoni yanayotokea nchini? au kwa vile anajua chama chake kinahusika? BISIMABA vurugu za kisiasa zinatunyima uhuru huku kwetu MTWARA, uko wapi? au kwa vile wajua...
Nimehudhuria mikutano mingi ya CDM; ambapo kumekua na baadhi ya vitu vyenye kuhitaji marekebisho "kidogo" . Kila mmoja anayo style yake ya kukamata saikologia ya hadhara. Ila kumekua na tabia...
Mojawapo ya dhambi kubwa ya kuvunja umoja wa kitanzania ni pale serikali ya CCM iliporuhusu na kuridhia kwamba mafuta ya Zanzibar yatakuwa si ya Watanzania bali ya Wazanzibar. Hii ni ishara kubwa...
Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna...
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha...
Ndugu
wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga
na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa
dhati. Wadau nijiunge na chama gani...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amelaani katuni ya kuwakashifu wabunge wa Bunge la Tanzania iliyochorwa kwenye gazeti la Sunday Nation la Kenya hivi karibuni na kusisitiza...
Wananchi wakazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wametahadharishwa wasitoke nje usiku kuanzia leo mpaka itakapotangazwa kuondolewa amri hii.
Maelezo ya Serikali ya Mkoa wa Mtwara ni kuwa Wananchi...
URAIS WA KI-UDALALI, MBELEKO MBELEKO, UANAMTANDAO NA VIGEZO VINGINE UCHWARA VINAVYOZUIA DEMOKRASIA KUFANYA KAZI KATIKA UHALISIA WAKE NA KWA KUZINGATIA TAMADUNI ZA TAIFA LETU JUU YA HILO KAMWE...
Tanzania yetu ni moja jamani. yanayojitokeza popote ni yetu sote. Mwenzenu sijapendezewa kabisa na mchango wa Madokta fulani hivi wa chama tawala. Ni pale Jimbo la Busega. Mbona inakuwa kama...
Wakati Africa inasherekea umoja wake kwa miongo mitano sasa,Tanzania ni nchi kinara wa uhuru wa nchi nyingi za Africa kwani ilijitoa kwa moyo kusaidia nchi nyingi kupata uhuru wake.hongera...
NDUGU WANA JF TUTANGULIZE UTAIFA KWANZA,
SOMA KWA MAKINI ALAFU TAFAKARI, HUO NI UTAFITI WA JINSI TUNAVYOIBIWA, GAZETI LA MWANANCHI LIMERIPOTI LEO,
Dar es Salaam. Taasisi moja ya masuala ya...
Pamoja na mambo Gesi ya Mtwara,tujikumbushe na hili la Rare Earth Mineral yanayopatikana vilima vya Wigu, Kisaki Morogoro chini ya kampuni Montero Mining & Exploration.
Kumewahi kuwa na bandiko...
Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) umelaani vikali vitendo vya vurugu vinavyotokea huko Mkoani Mtwara na kusema kuwa kamwe hata kama wananachi wa huko wanadai haki lakini haki haiweze...
Miaka miwili Kikwete Ikulu, tumaini lililopotea
M.M. Mwanakijiji
Tanzania Daima
IJUMAA ya Desemba 21, wiki hii, Rais Jakaya Kikwete, anatimiza miaka miwili madarakani.
Pamoja na...
Domestic militants in Tanzania currently lack the capability to inflict major damage, but the risk of attacks is likely to increase in coming months.
ARTICLE | 17 MAY 2013 - 3:48PM | BY ROBERT...