In Ethiopia: African Union celebrates 50 years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In Ethiopia: African Union celebrates 50 years

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kabiriga, May 24, 2013.

 1. kabiriga

  kabiriga JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2013
  Joined: Nov 18, 2012
  Messages: 444
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Wakati Africa inasherekea umoja wake kwa miongo mitano sasa,Tanzania ni nchi kinara wa uhuru wa nchi nyingi za Africa kwani ilijitoa kwa moyo kusaidia nchi nyingi kupata uhuru wake.hongera Tanzania kwa kazi nzuri na yenye mafanikio kwani lengo lilifikiwa kwa kiwango cha juu.

  Lengo langu hapa ni kutaka kujua kwanini Tanzania haikubadilisha sela zake za nje kunufahika ki uchumi kwa kujenga uchumi imara ili baada ya kusaidia nchi nyingi kupata uhuru iheshimike kwa uchumi wake, kwani mimi sioni uwiano kati ya heshmai tuliyonayo kwa kusidia nchi nyingi kupata uhuru na ujenzi wa uchumi wetu kwani nchi nyingi zimetupita kiuchumi na wakati walichelewa kupata uhuru lakini kwa uchumi wao uwezi kulinganisha na wakwetu inawa na rasilimali tumewazidi.

  Mawazo yenu wanaJF

  ==================

  Kirubel Tadesse, The Associated Press
  Published Saturday, May 25, 2013

  ADDIS ABABA, Ethiopia -- The African Union on Saturday marked 50 years since the founding of a continentwide organization that helped liberate Africa from colonial masters and which now is trying to stay relevant on a continent regularly troubled by conflict.

  Opening a summit of the African Union in the Ethiopian capital, Addis Ababa, Ethiopian Prime Minister Hailemariam Desalegn said the organization's original pan-Africanist aspirations remain relevant for a continent where many states are still struggling to overcome rampant poverty and violence.

  "This historic day marks not only a great leap forward in the Pan-Africanist quest for freedom, independence and unity but also the beginning of our collective endeavour for the realizations of Africa's socio-economic emancipation," he said. "The major responsibility of the current and future generations of Africans is.to create a continent free from poverty and conflict and an Africa whose citizens would enjoy middle- income status."

  AU chair Nkosazana Dlamini-Zuma said the pan-Africanism championed by the organization "united and inspired our people across the continent and globe never to accept oppression."

  The festivities in Addis Ababa, where the organization was born 50 years ago, were attended by dozens of African leaders and foreign dignitaries including U.S. Secretary of State John Kerry and UN Secretary-General Ban Ki-moon.

  Founded in May 1963 by a handful of liberated African nations, the Organization of African Unity -- as it was known then -- was at the time preoccupied with ending apartheid in South Africa and colonialism across the continent. Now the AU is focused on Agenda 2063, a blueprint that officials here say will eventually lead to the political and economic integration of Africa. African leaders are expected to discuss this 50-year strategic plan during the summit.

  By the 1970s, after almost all of Africa had been liberated from colonialism, the Organization of African Unity set its sights on ending white racist rule in South Africa. The organization granted the African National Congress --the party of Nelson Mandela that has governed South Africa since 1994 --observer status at a time when it was still outlawed by South Africa's apartheid regime.

  President Jacob Zuma of South Africa praised the AU in a statement Saturday, saying the organization was a force for freedom and the economic emancipation of all African people.

  "The (Organization of African Unity) therefore created a mechanism for the African intelligentsia and those at the forefront of the struggle against colonialism to co-ordinate and intensify their co-operation to emancipate the continent from colonial subjugation," the statement said. "The OAU thus provided a sense of purpose for the African people to restore their freedom, dignity and to strive for a better life for all Africans."

  The 53-member AU has been trying to emerge as a force for stability on a continent regularly troubled by violence, conflicts and coups. As the AU strives to make peaceful transfers of power across Africa the norm, it often sanctions coup leaders and suspends membership of states. But it also often fails to mobilize resources to enforce its decisions, the reason some activist groups want to see more robust action from the organization. This week a coalition of over 120 civil society groups from across Africa and the Middle East issued a warning about conflicts in Sudan, urging the AU to support a bolder approach to peace there.

  The organization is still a long way from its founders' dream of a united Africa. South Africa is an economic power, while citizens in countries like Somalia, Sudan, Congo and Chad suffer from warfare and poverty. Nigeria, Africa's most populous nation, is currently in the grips of bloody violence orchestrated by a radical Islamic sect that threatens to divide the country.

  But the continent also boasts nine of the world's 15 fastest growing economies and remains attractive to Western and emerging powers looking for natural resources. The United Nations Economic Commission for Africa says Africa's medium-term growth prospects remain strong, at 4.8 per cent in 2013 and a projected 5.1 per cent in 2014. The construction costs of the new building in Addis Ababa where celebrations are taking place were paid by China, whose growing economic footprint in Africa has been a cause for concern in the West. The visit to Ethiopia is Kerry's first trip to Africa as U.S. secretary of state.
   
 2. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,571
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Leo umoja wa nchi za Africa, African Union, EU, (zamani Organization of African Union) unatimiza miaka 50 tokea kuundwa kwake. Nilikuwa naangalia StarTV ikirusha moja kwa moja toka Adis Ababa na kilicho nishangaza ni kutumia Kiingereza na Kifaransa kama lugha ya mawasiliano humo ukumbini.

  Hivi hapa Africa pana lugha ngapi kubwa tuu ambazo wangeweza kuchagua moja iwe lugha wa mawasiliano humo? Ni aibu mno kujisifu kuwa tunataka bara letu liwe nchi moja ikiwa lugha tu inashindikana.

  Baba wa taifa aliisha fananisha vikao hivo kama vijiwe tu vya viongozi kukutania.
   
 3. D

  Dr bob Member

  #3
  May 25, 2013
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lugha zako embedded deep into people's culture sio rahic Kama unavyodhani...ni mchakato mrefu...na tutafika huko....building is a process kuna mazuri pia yamepatikana....our Kiswahili unify us kwanza it belongs to no one...pili kulifanyika efforts za makusudi pia....letc be optimistic
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,127
  Trophy Points: 280
  Rais Chissano wa Msumbiji ashawahi kuhutubia kwa kiswahili AU miaka michache iliyopita. Watu wakatafutana kwa sababu hakukuwa na wakalimami wa kutosha.

  Ona hapa http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/3871315.stm Swahili baffles African leaders

  Afrika tuna lugha nyingi lakini hatuna lugha ya kiafrika ya kutuunganisha.

  On another note. Miaka 50 ya OAU/AU mpaka leo tunategemea majeshi ya Ufaransa for peacekeeping in Mali.
   
 5. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2013
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Naamin wangekuwepo wale waasisi wangesonga songa mbele lkn hawa marais tulionao ni watalii na perdiem za esposure tu.
  1.Nchi yenye migogoro inafutiwa uanachama,
  2.Nchi wanachama. hazioeleki pesa /michango kwa wakati(budget).
  3.ZIkitokea dharura misaada ni ya kijeshi ni kutoka ulaya.
  4.Nchi maadaui wa wafrica wanapoweka vikwazo hatukemei wala kukataa.
  5
   
 6. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2013
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  • Yaaani nimemuona Dr Salim wakati wanaingia ukumbini anashangaa shangaa tu hata mahali pa kukaa hakuna mtu wa kuwaelekezaa...

  • JK nimemuona na viburudisho viwili wanapiga story na vicheko kibao...

  • Ukumbi wao mzuri wa kuhongwa na Wachina kwa Mamilioni ya Dollars...
   
 7. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,571
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Mkuu, miaka 50 si kidogo kwa watu wa maana wangekuwa wameisha teua lugha ya kutumia hapo ya Kiafrica.
   
 8. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,571
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Mkuu sio kutafuta lugha ya kutuunganisha tu hiyo haitawezekana, ninamaana pale AU kwenye mkutano wao kwa nini wawe mahodari kutumia lugha za wakoloni? Pana wakalimali pale hivo rais mfano wa Nigeria ahutubie kwa Kihausa na itatafsiriwa, haiingii akilini kwa mfano rais wetu ahutubie pale kwa Kiingereza.
   
 9. bily

  bily JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7,772
  Likes Received: 2,783
  Trophy Points: 280
  mkuu AU ina matatizo mengi sana kwanza viongozi wake hawajitambui alafu wanafki wote.
   
 10. N

  Ngakayu Senior Member

  #10
  May 25, 2013
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu usishangae matumizi ya lugha ya Kiingereza na Kifaransa kutumika kwenye maadhimisho ya AU Sio EU. Tunakushangaa wewe kutokujua makusudi ya AU Na malengo yake. Sio kuwa na Lugha moja ya mawasiliano kama unavyofikiri. Nenda darasani usome sababu za kuanzishwa OAU Mei 1963 na kubadilika kuwa AU Mwaka 2002. Hapo utakuta malengo ya AU. Hutakuta lengo la kuwa na lugha moja ya kiafrika kutumika kwenye vikao ya AU. Jf ni jukwaa la wasomi la wenye kureason sio kukurupuka. Naomba uzi huu utolewe hauna mashiko. Soma history utapata ufahamu usikurupuke.
   
 11. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2013
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu umetoa hoja nzuri kuhusu suala hili la lugha.

  Unajua ni aibu AU kutumia lugha ambazo asili yake ni nje ya africa.Je umeshaona EU wanatumia kiswahili.

  Lakini pa kuanzia ni hizi nchi zenyewe.Nilmwona kenyatta anatoa hotuba kwa kiingereza huku jaji mkuu akivaa wigi la waingereza.

  Ubongo wetu na Viongozi wa africa una hulka za kitumwa.Bob marley aliita mental slavery.EMancipate yourselves from mental slavery alisema Bob.AU hakuna chochote,porojo
   
 12. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2013
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwanini asishangae?Utatumiaje lugha ambayo watu wa kawaida unaowawakilisha hawaijui
   
 13. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,571
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Aksante sana mkuu, lakini GREAT THINKERS wanatoa maoni yao kwa kuona hoja yangu ni ya maana. Mungu akubariki.
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  May 25, 2013
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,129
  Likes Received: 3,425
  Trophy Points: 280
  Leo Umoja wa Afrika (AU) zamani ukiitwa Umoja wa nchi huru za Afrika OAU unatimiza mikaka 50 pale Addis Ababa Ethiopia!

  Wakuu wa nchi zinazounda umoja huo na viongozi wengi mashuhuri wanahudhuria leo!

  Maadhimisho hayo yamepambwa kwa shamrashara za kila aina,

  Wanamziki wa maarufu wamealikwa kutumbuiza halaiki hiyo,

  Mtazamo wa umoja huo kwa leo upo katika sura ileile ya zamani ya kupigania UKOMBOZI ijapokuwa tayari afrika ilishapata uhuru!

  Ni kweli, afrika inahitaji uhuru, lakini sio ule tulioutafuta kwa jasho na damu miaka ile ya 1950+, bali ni uhuru wa KIFIKRA, uhuru wa KIUCHUMI na uhuru wa KISIASA!

  Afrika leo imepata uhuru wa bendela lakini bado inahitaji kuwa huru zaidi ya uhuru huu tunaouishi leo!

  Dhana na mandhari ya maadhimisho yanayoendelea pale Ethiopia imebebwa na hanikizo la ukombozi,

  Furaha yangu nikuona kuwa AU leo inaendelea kuuthamini MUZIKI wa REGE na kutambuliwa kama ndio mziki wa harakati za ukombozi wa Mwafrika!

  Safari ni ndefu!


  Amani ya Afrika ni Muhimu kwa Dunia!

  Afrika ni mahali pa tumaini jipya la mwanadamu wa leo na kesho!
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  May 25, 2013
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,364
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  Yericko Nyerere,

  ..nimesikitishwa na kitendo cha Raisi kuamua kwenda Addis kwenye sherehe, wakati huku nyumbani kuna machafuko na wananchi wamepoteza maisha. je, kwa mtizamo wa Raisi, sherehe za Addis zina umuhimu kuliko haya yanayotokea kusini mwa nchi yetu?

  cc: THE BIG SHOW, Mchambuzi, Sikonge, Masanilo, EMT, NasDaz
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  May 25, 2013
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,129
  Likes Received: 3,425
  Trophy Points: 280
  Mkuu

  Mimi sikushangaa yeye kwenda huku nyumbani kaacha maafa,

  Bali nimeshangazwa yeye kuchelewa kwenda kwenye shughuli hiyo nyeti kwake na yamafaa sana kwake!

  Nilitegemea kabisa kuwa lazima aende hata kama kungekuwa na msiba pale Ikulu,

  Safiri salama prez daa wetu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. s

  silongo capdivilla Member

  #17
  May 25, 2013
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 89
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ule umoja umejengewa ukumbi nchi zenye rasilimali zote hizi bado ukumbi wa mikutano tunajengewa,viongozi wetu ni mawakala wa nchi za ughaibuni sio viongozi wetu kabisa mkae mkijua sasa cameroon akitoa masharti ya kupata misaada yake utabishaje sasa umeona.

  Kwanza nchi zetu tuwe huru ikiwa ni pamoja na kujitemea wenyewe,sio kidogo mafuriko kidogo msaada unatoka bank ya dunia, kipindupindu watu wa marekani ndio watoe dawa,mtu kafa kwa kifo cha kutetanisha wanakuja cia,sasa sisi wenye nchi tunaweza kufanya nini?

  Mashine za tanesco zikiharibika zinapelekwa sauzi,inamana woote wale na mashine zenyewe za zamani hawajazizoea na kujua matatizo yanayokuwa yanajirudia? Wanapata mishahara tu kwa kufuatilia bili za umeme kitaa na kuwaunganishia watu umeme wa madili na namna ya kupanga migao tu si ndio.

  Nchi zetu bado wakoloni wapo tu,,na kuna uwezekano vita ya 3 ya dunia ikaanzia hapo tizedi kwani kila rais anataka kuongelea africa anakuja kwetu sasa huoni hapo ni hatari unafikiri nji mema jamani..na nyie matajiri wa bongo na mafisadi wetu wekezeni jamani nchi yetu inachukuliwa na nyie mnatoa macho tu hapo.wehu nini nyie.
   
 18. N

  Ngakayu Senior Member

  #18
  May 25, 2013
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante kaka. Mtoa uzi naomba anisamehe. Sababu za AU Kushindwa kufikia malengo yake baadhi ni haya.
  1. Umaskini wa nchi wanachama.
  2. Kutochangia kwa wakati michango.
  3. Mbinu chafu za mabeberu. Mfano kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi, Tunisia na misiri.
  4. Migogoro ya kisiasa na kupinduliwa kwa tawala za kidemokrasi.
  5. Migogoro ya mipaka nchi wanachama.
  6. Tofauti za kiitikadi na falsafa za nchi nk.
   
 19. D

  Dr Ntinkutina. JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2013
  Joined: Apr 25, 2013
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha pompous za usomi wewe. Mtoa mada kuandika EU kapitiwa tu alimaanisha AU. Na usimfikirie kuwa ni mjinga hajui madhumuni ya huo umoja(AU). Na ni upuuzi uliotukuka kujitapia elimu ikawa jamii yetu bado tunakabiliwa na matatizo ya 'kijinga' ambayo wenzetu walioendelea( na ndiyo wasomi haswa) ilishabaki ni historia. Ni Jeremy Taylor, aliyesema " To be proud of learning is the greatest ignorance ". Ndugu yangu, usomi wa kudharau wengine si usomi bali ni uwendawazimu.
   
 20. D

  Dr bob Member

  #20
  May 25, 2013
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Issue ni lugha ipi n why....inahitaji umakini and patience angalia Mfano Nigeria wanaafrican languages lakin mpaka leo hawajafikia muafaka Wa ipi itumike wanatumia kiingerezaa sasa hiyo ni Nchi moja...we are talking abt Africa nzima...people are proud of who they are..culture na customs zao...letting go is a challenge...bado tuna safari hopefully Kiswahili can serve the purpose
   
Loading...