Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,417
Mbona huyu mama kanyamaza sana? haoni yanayotokea nchini? au kwa vile anajua chama chake kinahusika? BISIMABA vurugu za kisiasa zinatunyima uhuru huku kwetu MTWARA, uko wapi? au kwa vile wajua kabisa kuna vijana wa chama chako wamepiga kambihuku Mtwara na kuhamasisha vurugu baada ya zoezi lao la M4C kuambulia patupu?