Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.
CC: THE BIG SHOW ,Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Ngongo, Ritz, THE BIG SHOW, Jasusi, Mkandara, Susuviri, EMT, NasDaz, Mohamedi Mtoi, FJM, Ericus Kimasha, Kichuguu, Sangarara,RevolutionaryTZ Ng'wamapalala