Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010
*Laanzisha mafunzo ya kuchagua viongozi bora
*Lasema wananchi wanaburuzwa kwa kukosa upeo
*Latamka siasa na dini haziwezi kutenganishwa
Na Peter...
BABA wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi kama Mwafrika Mashuhuri wa Kimajumui.
Hatua...
Wakuu John Mnyika na Halima Mdee Amani iwe Nanyi.
Nipende Kujitambulisha kwenu kama Mpga Kura wenu na Mwanachama Hai wa CHADEMA ninayeishi kwenye Mtaa ambao kimsingi Uko Mpakani mwa Majimbo yenu...
Ajabu eti J4 Kawa-mbwa bado anangangania huku Njaa Kaya akijifanya haoni ushuhuba wao unavyoharibu kaya! Wanafiki watupu na wachumia tumbo walio tayari kuteketeza kaya kwa maslahi yao...
wapenzi wote na wana chama wa chadema kama kuna mtu ajawai kumsikiliza prof safari basi ajitahidi sana atakapo sikia kuna mkutano wa chadema mahali aende akamsikilize huyu bingwa wa sheria jinsi...
Wana jf nipo zakhem,tayari .makamanda wameanza kuwasili,viwanja vimesnza kupendeza,maandalizi yanatisha.wanaotegemewa kuwepo no profess safari na marando. Nitaattach picha wakati wowote kaanzia sasa
Saturday, 25 May 2013 14:44
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe akifafanua jambo
Dar es Salaam,Tanzania
WAKATI wanasiasa wakipinga hatua ya kuhusika...
Tumeweza kufanya maamuzi magumu
Hatutashindwa kutatua matatizo magumu
Utendaji wake unajulikana na kila mwananchi
Watu wanashindwa kujiuzuru ukatibu kata lakini yeye aliachia uwaziri mkuu
Sio...
Posted Mei25 2013 saa 20:45 PM
MWANANCHI
Kwa ufupi
Ripoti ya taasisi hiyo Revenue Watch Institute, inaeleza kuwa Tanzania iliyo na madini ya shaba, fedha, almasi na gesi asilia, imeshindwa...
wanajf
tunavyo jua leo m4c inatikisa mjini songea makamanda mlioko huku tujuzeni na mtuletee updates msisahau picha ilil tujue ngome ya huyu jamaa (nchimbi) inavyo sambaratushwa na makamanda...
Ndugu wanaJF, Kumekuwa na utaratibu wa muda mrefu wa serikali na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukimbia kivuli bila kujali kama ni chao wenyewe...
Leo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni nilibahatika kuwa karibu na TV huku nikiingalia TBC japo Sijisikii Vizuri kutizama kituo hiki cha TVCCM. Lakini kwa kua sikua na njia Mbadala...
SI kosa wala dhambi kutangaza nia ya kuwakombo wananchi wanaodhulumiwa na kulaghaiwa kwa kofia,kanga na mipira kutoka ccm kisha kuwaterekeza. ni kweli ninadhamira ya kuwakomboa wananchi wa jimbo...
Wasalaam wana-JF?
Kufuatia kuahirishwa mara kwa mara kwa hotuba ya wizara hii nyeti ya serikali, leo bila ajizi wabunge wote wameridhishwa na majibu mazuri ya waziri Prof. Sospeter Muhongo...
Neno "siasa" kama litakavyotumika katika mada hii linahusu sayansi na mbinu ya utawala, kwa maana ya uongozi katika vyombo au ngazi mbalimbali za utawala kuanzia ngazi ya familia, jumuiya, wilaya...
Huku wakazi wa Mtwara wakibaki kama yatima na wanyonge ndani ya nchi yao waziri mkuu leo anaanza ziara ya siku tatu hali ya kuwa kuna majeruhi 30 kati yao 15 wakiwa na majeraha ya risasi na...
Baada ya kufanya Kampeni za ndani toka Tar 17 sasa leo tunakuja hadharani kumnadi mgombea wetu wa Udiwani katika Kata ya Iyela ndani ya Jiji la Mbeya.
Wana Iyela wapo tayari kumpokea na...
Wana JF, Habari zenu, Ndugu zangu kuna mambo ambayo siku zote najiuliza kuhusu aina ya viongoz wetu wa ccm kutokpima alama za nyakati. wamekuwa wakipotosha watu wakijifanya wao ni waangwana na...
BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA
KUIKATAA CCM NI KUKATAA UFISADI, UMASIKINI, UDOKOZI, UNAFIKI, UZANDIKI, N.K
Serikali ya Chama Cha Mafisadi (CCM) ndiyo muasisi na kinara wa ufisadi hapa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.