Sitta, Mwakyembe wasutwa
• Ngeleja awatolea uvivu
na Mwandishi wetu, Dodoma
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amewashutumu wanasiasa wenzake kuwa siasa zao...
Ajabu eti J4 Kawa-mbwa bado anangangania huku Njaa Kaya akijifanya haoni ushuhuba wao unavyoharibu kaya! Wanafiki watupu na wachumia tumbo walio tayari kuteketeza kaya kwa maslahi yao uchwara...
Huu ni mtazamo wangu binafsi
Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya
TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE
Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa...
Mlinzi hata uwe unalinda na Mbwa mkali ukiibiwa utalaumiwa peke yako hata Mbwa awe ni mkali vp. Suala la mtwara serikali ya CCM ilishindwa kufanya yafuatayo.
1.Kutafuta taarifa zilizopelekea...
Makamu wa rais zanziba mh maalim seif akizumngumza jana kwenye kongamano alisema wanataka zanziba yenye mamlaka kamili akisema hayo ni maoni ya wananchi wengi wa wa zanziba na wengi wlielelezea...
Mbunge wa Nzega Saidi Bagaile (Dr. Hamis Kigwangala) amenafika hivi kwenye wall yake ya Facebook
Miongoni mwa watu wanaotazamiwa kuchukua fomu kuwania Urais ni Mhe. Bernard Membe, Mhe. Mwigulu...
SIKU chache baada ya Serikali kuahidi kusaka kokote duniani wachochezi wa vurugu za Mtwara, Chama cha Wananchi (CUF) kimeibuka na kudai hakihusiki.
Chama hicho kimedai kupata taarifa ya kuwapo...
Ndugu wana
jf. "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
Nimeona nianze na hayo maneno kwanza. Jana nilianzisha uzi hapa
jamvini unaosema CHAMA GANI MAKINI, NATAKA KUJIUNGA NACHO?. Kwakweli...
Kampeni za uchaguzi wa udiwani ktk kata ya MANCHIRA hapa wilayani serengeti zilianza tarehe 19.05.2013 ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleleo CHADEMA kilizindua kampeni zake ktk kijiji cha...
Mimi nashangaa vijana tunabishana kuhusiana na vyama vya siasa....tena mpaka kutukanana.Mimi kama mimi siangalii CCM,CHADEMA wala CUF ila maendeleo kwa vijana na watanzania kwa ujumla.Siasa...
Ndugu zangu,
KWETU wanadamu, mengi yanayotufanya tufarakane na hata kugombana yanatokana na sisi wenyewe wanadamu. Na ndivyo ilivyo hata kwa ndege na wanyama.
Ukiwaona ndege wanagombana...
Salam makamanda, muda mfupi uliopita nimetoka kwenye mkutano wa chama cha cuf kata ya kaloleni mtaa wa tenki la maji Ilboru, ambao umehudhuriwa na viongozi waandamizi wa CUF kitaifa wakiongozwa na...
Matukio ya wananchi na viongozi mbalimbali kumwagiwa tindikali bado yanaitikisa nchi na habari zilizorushwa asubuhi hii kutoka Zanzibar ni kwamba sheha wa Tomondo amemwagiwa tindikali na amepata...
Na Albano Midelo,Songea
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa
manispaa ya Songea katika viwanja vya Matarawe
WANAFUNZI 600,000 wenye umri wa chini ya...
Jana kupitia radio yake iitwayo Voice of Tabora mheshimiwa Ismail Aden Rage, mbunge wa Tabora mjini, alikuwa 'live' akiwahutubia wapiga kura wake mjini hapo. Nilimsikia akitoa pikipiki na pesa...
Imeandikwa na Salome Kitomary
4th November 2010
Mwalimu na mwanafunzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi na kuchapisha...
Nchi yenye asilimia kubwa watu wake wasio na ajira, wenye muda mwingi kujadili mambo, wenye muda mwingi kukaa kwenye nyumba za Ibada na kujadili mambo mengi ya imani na kidunia, inayokosa...
Mwenyekiti wa Baraza la Habari Tanzania MCT, Kajuni Mukajanga,amemlaumu vikali sana Mbunge Juma Nkamia kwa mchango wake bungeni wa kutoitambua MCT sababu eti si chama cha kiserikali,"Mbunge huyu...
Kama kuna kitu sitashangaa kusikia ni kuhusika kwa CUF na CHADEMA katika vurugu hizi zinazoendelea Mtwara kwa siku mbili sasa.
Sita shangaa kwa vile kwa mfano CHADEMA walisha sema nchi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.