Lajomi
Member
- Sep 1, 2012
- 63
- 9
Pamoja na mambo Gesi ya Mtwara,tujikumbushe na hili la Rare Earth Mineral yanayopatikana vilima vya Wigu, Kisaki Morogoro chini ya kampuni Montero Mining & Exploration.
Kumewahi kuwa na bandiko lililowahi wekwa hapa lililokuwa limechapiswa na Gazeti la THE GUARDIAN la tarehe 13/04/2010 kuhusiana na utafiti wa madini haya ya Rare Earth ambayo miongoni mwa watu wengi hatujui vizuri au kupata habari/mijadala yake si ndani ya bunge au nje kama madini mengine.
Pamoja na kua inasadikika kulingana na tafiti,Tanzania inayo madini hayo kwa wingi kuweza ipiku China ambayo ndiyo kinara wa uzalishaji hadi hivi sasa, Je Wawakilishi wetu mjengoni hawaoni umuhimu wakujua michakato yote ya tafiti hizi.
Mikataba na nchi itanufaikaje ukizingatia madini yenyewe ni malighafi muhimu sana katika utengenezaji wa vifaa vya kisasa vya ki elektonik,magari ya kifahari na silaha za hali ya juu kwenye nchi zilizoendelea kwenye karne hii ya 21?
Au ndo kuporwa kimya kimya?