CCM walaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara .

CCM walaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara .

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) umelaani vikali vitendo vya vurugu vinavyotokea huko Mkoani Mtwara na kusema kuwa kamwe hata kama wananachi wa huko wanadai haki lakini haki haiweze kupatika kwa kuifanya vurugu.

Akizungumza na waandishia wa habari, katibu mkuu wa umoja huo Bw Khamis Dadi amesema ni vyema kila mtu akajua kuwa amani ya nchi ni muhimu hata kuliko hiyo gesi wanayoigombania na hivyo waweke mbele maslahi ya taifa.

Source: ITV
 
Na mimi nalaani vikali Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa kutoishauri serikali ikazungumze na wanamtwara hadi vurugu zimetokea. Upuuzi huu katu hatutauvumilia!
 
Wangesema "tunamlaani membe kwa kuchochea vurugu mtwara"
 
Wao washakua watu wakukabiliana na maafa badala ya chanzo,ni utamaduni wao hivyo hakuna la ajabu hapo.....na mimi na laani vile vile,ila sijui namlaani nani.
 
umoja wa wazazi wa chama cha mapinduzi(ccm) umelaani vikali vitendo vya vurugu vinavyotokea huko mkoani mtwara na kusema kuwa kamwe hata kama wananachi wa huko wanadai haki lakini haki haiweze kupatika kwa kuifanya vurugu.

Akizungumza na waandishia wa habari, katibu mkuu wa umoja huo bw khamis dadi amesema ni vyema kila mtu akajua kuwa amani ya nchi ni muhimu hata kuliko hiyo gesi wanayoigombania na hivyo waweke mbele maslahi ya taifa.

Source: Itv
na mungewalaani pia wale waliosababisha wananchi wasilipwe pesa zao za korosho kama wanavyostahili na wale wanaosafirisha twiga na vyura kwenda ulaya na kwingineko kwa manufaa yao binafsi bila kuwasahau wanaccm wenzenu walioficha pesa uswis ambazo ni haki za watanzania wote.
 
Wao washakua watu wakukabiliana na maafa badala ya chanzo,ni utamaduni wao hivyo hakuna la ajabu hapo.....na mimi na laani vile vile,ila sijui namlaani nani.

Kamanda upo juu lakn hujasema ni nani ??
 
CCM MSIWAZUGE WATANZANIA, MTUJIBU KT VURUGU ZOTE HIZI MBONA INVESTMENTS ZA MH BENARD MEMBE ZILIZOJAA HAPO MTWARA MJINI HAZISHAMBULIWI?

JIBUNI HALAFU MUWAJULISHE WATANZANIA, CHAMA CHENU KIMEJAa FITINA ZAIDI,
MEMBE KTK KAMPENI ZA URAISI UYO MNAMTAFTA MCHAWI WKT YUKO SEBULEN KWENU NA MNAZUGA KM HAMJUI, MAPEMBE NDO UYO
 
Poleni sana, kwa namna yeyote ile ccm imejizika rasmi mikoa ya kusini ambako kwa muda mrefu ilikuwa ni ngome yake.
 
wamesahau pia kusema hata kama ni kuzuia haki ya mtu si kwa kutumia majeshi,polisi na dharau kubwa kiasi cha kuleta madhara haya.
 
Na nitaumia sana kama hawa ccm watapata kura za hawa ambao hawataki kiwasikiliza madai yao na badala yake wanatumia nguvu nyingi kuwagombanisha na watanzania wenzao kwa kusema kuwa watu wa kusini ni wabinafsi sasa huu sijui sio uchochezi!!!!!
 
Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) umelaani vikali vitendo vya vurugu vinavyotokea huko Mkoani Mtwara na kusema kuwa kamwe hata kama wananachi wa huko wanadai haki lakini haki haiweze kupatika kwa kuifanya vurugu.

Akizungumza na waandishia wa habari, katibu mkuu wa umoja huo Bw Khamis Dadi amesema ni vyema kila mtu akajua kuwa amani ya nchi ni muhimu hata kuliko hiyo gesi wanayoigombania na hivyo waweke mbele maslahi ya taifa.

Source: ITV

Mnafiki mkubwa na unafiki umejificha kwenye "HATA KAMA"
Kama anaweza akayaseme hayo hukohuko mtwara kama halijarudi jina.
 
Back
Top Bottom