Kuanzia utawala wa Ben Mkapa hadi leo tumeshuhudia wizi wa fedha kwa njia mbalimbali,kama vile fedha taslim,fedha kwa commissions kupitia mikataba, manunuzi, kupitia utekelezaji wa miradi ya...
Katika harakati za kuzima moto uliowashwa jimboni Kongwa na wabunge wa CHADEMA ambao naibu spika huyo aliwafukuza bungeni (Sugu, Msigwa, Wenje etc), Jobu Ndugai amekutana na zomea zomea karibu...
Aliyekuwa mshindi wa pili na mgombea ubunge wa jimbo la Magu kupitia chama cha wananchi CUF mwaka 2005na 2010,Laurian ILOLE Lukona,amefariki jioni hii ya leo.Mungu Ailaze roho yake mahali pema...
Ngeleja awalipua upinzani Bungeni leo kuwa lengo lao ni kupinga hoja zinazoletwa mezani na Serikali ya CCM. Hii ikiwa ni lengo lao kuu la kutaka kushika madaraka. Wao muda wote wako kuhangaikia...
Kwa wale waliofuatilia hotuba ya Rais M7 mbali na uzuri wa hotuba yake-hivi ni kwa nini hajabainisha mchango wa Tz katika ukombozi kusin mwa Afrika badala yake kasifia...
ndugu wanajanvi kama haujawahi kujionea basi sikia hapa
huyu mtu ni mkuu wa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere cha kigamboni karibu miaka 20 sasa yupo katika chuo hiki,alistaafu akapewa miaka...
Ni maneno ya wabunge vilaza na omba omba wa ccm-magamba wakihadaa watz kuwa rais obama atakuja na zawadi, hivi watz ni wajinga kiasi gani kutegemea zawadi kwa wazungu?taifa tegemezi haiwezi...
Nimesikiliza Bunge kwa makini. Nilichostaajabu nimaeneo mengi muhimu kuwa underfunded na Waziri kudai hakuna hela na usanii mwingine.
Hakuna asiyejua jeshi ni la wananchi kama jina lake na katika...
Kwa alieyewasikia, msigwa, mbowe, Mnyika, Sugu na Lema hakuna doubt.Ataona CHADEMA wanavyoicommad CCM.Wanavyosema na kinakuwa.CCM wenyewe wakiongoea wanaangalia kivuli cha CHADEMA.Wakifanya...
Sasa inakuwa dhahiri jinsi gani watu duni walivyo duni siku zote.Sasa ni wazi hakuna tena mwenye mashaka na mawazo ya wazee wa CHADEMA haswa Mtei aliyeandamwa sana kuwa kaweka watu sijui kwa nini...
Jamani hembu tuelezeni hizi fikra mbovu:Kuwa kuchakachua rasilimali asili pale zitokapo kunapunguza vipi pato na taifa? Au kubadili vipi utendaji wa hazina na matumizi ya serikali hadi watu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Jakaya Kikwete leo akihutubia katika Mkutano wa CCM mkoani Dodoma huku akionekana mwenye hasira, amesema kua Serikali haipo tayari kuwavumilia wale wote...
Viongozi wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani na baadhi ya wabunge wa CHADEMA watafanya mkutano mkubwa wa siasa jioni ya leo tarehe -25/5/2013 (jumamosi) katika viwanja vya TOP TOP (karibu na stendi...
Mchana huu gari la matangazo limekuwa likipita na kutangaza mkutano wa chadema hapo kesho.Kwa mujibu wa matangazo hayo ni kuwa wanakuja viongozi wa kitaifa.Sasa sijui kama wataenda huko vijijini...
Moja ya mambo ambayo serikali yetu ya mheshimiwa jk kufanya ni hili la kupeleka wanajeshi kuwa walizi wa raia na Mali zao baadala ya kuwa walinzi wa mipaka ya nchi...
Wasira: Msiuze urais kwa 20,000/-
MG O M B E A ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Bunda, Steven Wasira amewataka Watanzania wasifanye majaribio na kubahatisha katika kuchagua urais kwa...
Wana Jamvi, Kuna habari za kuaminika kwamba CCM wamemwambia kinana asiudhurie midahalo yoyote ya umma ili kukwepa maswali kutoka kwa wananchi kwa njia ya simu au live uhusika wake na biashara ya...
Naomba nitumie jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni kuhusu umuhimu wa nidhamu bungeni. Hapa nazungumzia nilichokiona leo bungeni kwa Mh. Joshua Nassari na...
wakati anajibu hoja za wabunge amesema kwamba kuna baadhi ya wabunge walikamatwa na madini viwanja vya denge akawaombea waachiwe,yaleyale ya mzee wa kaya wana JF nyinyi mnalionaje hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.