Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Diwani wa Kata ya Urugu, Jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida Simon Tyosela wa Chama cha Mapinduzi, amepata mkong'oto kutoka kwa vijana wa CHADEMA baada ya kumfuma akiwa anagawa mipira ya...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Salaam ndugu wanaJF. Leo CHADEMA tunafanya uzinduzi wa kampeni za Udiwani katika kata ya Mianzini iliyopo eneo la Mbagala wilaya ya Temeke. Maandalizi ya uwanja wa mkutano yamekamilika...
10 Reactions
164 Replies
12K Views
Kuna msemo maarufu wa kwenye duru ya biashara inayo sema "competition drives innovation". Ukienda kwenye upande wa michezo utasikia "what makes a great athlete or team is good competition." Katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mh.Rais,ni kweli kwenye madini tumecheki na tuliaminishwa hatukuwa na wataalamu wa sheria kusaini mikataba wakaamua tu kusaini wasichokijua na sasa chamoto tunakiona. Lakini nchi hii tuna...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Huku chama majangili na mafisadi wakingoa kuja watoto jana huko majengo kata ya elerai na CUF wakiambulia watu wasio zidi 30 kwenye mkutano wao, chama cha Demokraisa na Maendeleo jana kilizidua...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko kutoka baadhi ya viongozi wetu wakilaani utendaji wa ICC kwamba inawaonea viongozi wa Afrika na kuwaacha wa Ulaya na Amerika (haitendi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwaka 1962 kuna tukio lilitokea Tanzania na lilipata umaarufu mkubwa sana duniani kote na kuzungumziwa. Na mpaka sasa tukio hili limekuwa likizungumziwa sana kwenye research mbali mbali. In 1962...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtwara Wanajeshi wawa rafiki wa wananchi Police adui wakubwa Katika hali ya kushangaza wanajeshi wa Jeshi la Tanzania wameonekana kupendwa na Wananch wa Mtwara na kusikilizwa sana zaidi ya...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Hayati Mwalimu Nyerere. Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi kama Mwafrika...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
1.Hii ndio hali ya barabara za jimbo la Simanjiro kunakotokea Tanzanite. Hali ni mbaya Watanzania tuungane tumuondoe nduli ccm anaangamiza taifa letu 2. Hapa ni jimboni kwa Ole sendeka ccm ni...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kupitia safari redio mtwara,RPC huyo alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa maeendeleo ya watu wa kusini, Licha ya...
14 Reactions
134 Replies
11K Views
Umati wa watu umefurika ktk kijiji cha mdeke ambapo wanachama wengi wamerudisha kadi za ccm na kukabidhiwa za CHADEMA
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Namshukuru sana Kinana kwa kujitolea kufanya mdahalo na Dr. Slaa Star TV. nakushukuru kwa mambo yafuatayo umetuondolea aibu ya mgombea wetu kumuogopa mgombea wa Chadema ingawa wewe si mgombea...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu, kwa hali ilivyo sasa na hasa kwa wakazi wa Dar Es Salaam, Jiji linalochangia kwa kiasi kikubwa mapato katika Tanzania, hali ya msongamano wa magari na foleni barabarani inatisha. Watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nachukua fursa kumshukuru Mungu kwa uwezo wake Karima kutuamsha na kutuwezesha kupumua kwani ni wengi wetu hawajapata fursa hii adhimu,pia ni waombe dua njema kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa neema...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mjumbe wa kamati kuu taifa na mbunge wa arusha mjini g.lema,leo kumshukia lowasa na helcopter makuyuni kwenye kampeni za udiwani akiwa na mgombea udiwani kwa tiketi ya chadema na kurusha...
9 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwa waliosoma art of public speaking watanielewa vizuri zaidi. Kufikisha ujumbe hakutegemia tu aina ya maneno yanayosemwa au kusomwa, bali hutegemea pia lugha ya viungo (body language), sauti...
21 Reactions
36 Replies
4K Views
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida niliyechoshwa na utawala mbovu wa serikali ya ccm nimeamua kuuliza tafakuri hii kwani mda uliobaki ni mchache mno! Ningependa viongozi wa chadema waweke japo kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom