Mnyika na kanuni za bunge

Mnyika na kanuni za bunge

Mbogo-1

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
64
Reaction score
3
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea
 
Mbona kama unaongea mwenyewe? sasa kulikuwa na haja gani kuleta thread halafu unajijibu? umekunywa glass ngapi za gongo leo?
 
Acha wivu kabisa. Sote tumeona bunge live.
Mnyika kafafanua vizuri sana.
Mnyika alisimama kuomba utaratibu na wala sio mwongozo hii ni baada ya Lukuvi kutumia kanuni ya kuomba mwongozo vibaya.

Kabla ya kuomba utaratibu Mnyika aliamua kufafanua kanuni za bunge 2, then aeleze utaratibu anaotaka, lakini kada mwenzetu wa CCM(Mama Jenister Mhagama) ambaye alikuwa ndio mwenyekiti wa kikao cha bunge akamwingilia kabla ya kumalizia, lengo kuharibu mantiki ya Mnyika.
 
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea

Mbona umeandika kama mlevi wa mnazi na chibuku?
 
Buku 7 hzi. Zinaganya watu kujitoa ufahamu sasa ndo umeandika nini?
 
sasa mod hii nayo mmeiclasify vipi kuwa habari ya kisiasa.
 
jenista nadiploma yake ya ualimu yakorogwe hana chapekee zaidi yakusubiri kugegedwa namr.dhaifu!
 
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea
Mkuu vipi! umeshaona siku zako kweli. kama bado kamuone daktari.
 
huyu jamaa kweli n**se,ndio unajiita mbogo!tatizo ile timu ya angola inakuharibu!
 
Kwako mbunge wangu mheshimiwa!

Napenda kutumia nafasi hii nzuri ya jamii forum kukujulisha kuwa tangu uwe mbunge watu waishio malamba mawili, hawajawahi kupata maji. Wananunua ml 1000 kwa shilingi elf kumi na tano au zaidi au kasoro kidogo. Unalitambua hili?kuna mkakati gani?2015 utarudi kuomba kura?
Nawasilisha!
 
Tatizo kuendekeza ushabiki mnakurupuka kuandika vitu vya ajabu ajabu!
 
Haya na wewe Nape ameshakuona kachukue posho yako Lumumba.
 
Jamani mnaojibu hizi thread za wapuuzi nawaomba msiwajibu waacheni wajijibu wenyewe.
 
Back
Top Bottom