meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,833
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida niliyechoshwa na utawala mbovu wa serikali ya ccm nimeamua kuuliza tafakuri hii kwani mda uliobaki ni mchache mno!
Ningependa viongozi wa chadema waweke japo kwa kifupi mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015 kwa kuanzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014.
Kama wananchi hatuko tayari kufanya majaribio au utani!
Tusifikiri kuwa tunataka kuongeza majimbo bali tujue tunataka kuongoza nchi!
Cc Zitto @Dr W.P.Slaa John Mnyika

Last edited by a moderator: