Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima...
Kwanza nianze kwa lakini nimebahatika kushuhudia siasa za Tanzania toka enzi za chama kimoja nikiwa Monduli nikishuhudia siasa za Mzee Moloimeti na hata Mtifuano wake na Mzee Lowassa mwaka 1995...
Jeshi la Polisi linamshikilia mtu mmoja ambaye ni muhusika wa usambazaji wa SMS za uchochezi na matusi kwa viongozi wa nchi.
Msemaji wa Jeshi hilo amedai kuwa kuna wamebaini kuna mtandao mkubwa...
Hakimu Devota Msofe wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ameahirisha shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), kwa tuhuma za uchochezi hadi Julai 2...
Sio siri kumbe kazi ya udiwani ni ngumu, leo huku diwani wa kata ya Kibaoni wilayani Kilombero alianguka na kufa muda si mrefu akimnadi mgombea udiwani CCM kata ya Ifakara. Naendelea kufatilia na...
Akijibu swali la mbatia, mbunge wa kuteuliwa, amekiri kuwa matumizi ya technolojia ya mawasiliano hususan simu za mikononi inatumika vibaya na baadhi ya watu na hivyo kuchchea chuki, vurugu na...
wanafunzi wa vipaji maalum wa mzumbe kuandamana hadi kwa mkuuwa mkoa wa morogoro wakidai matatizo makubwa shuleni hapo ni aibu kwa taifa kama shule exceptional kama hizi zinafanyiwa hivi sasa...
Duniani kuna vituko sana. Ni jana tu,Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana ameivua nguo Serikali ya chama cha Mapinduzi.
Akiwa ziarani mkoani Njombe,Kinana ameitaka Serikali...
BAADA ya kuwasimamisha kwa miezi kadhaa kupisha uchunguzi waziri wa uchukuzi Dakta Mwakyembe tangu ijumaa tarehe 24/5/2013 amewatimua kazi wakurugenzi wengine 3 na meneja 1 wa mamlaka ya bandari...
"Rais Kenyatta awataka wabunge kutii sheria"
Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa kauli kali kupinga hatua ya wabunge wa Kenya kutaka kujiongezea mishahara. Rais Kenyatta amesema kuwa taasisi...
Katika ziala yenu ya majukwaani mkoa wa Njombe pambaneni na CHADEMA kisayansi bahati nzuri mtakutana na mwenzenu mzoefu Deo FILIKUNJOMBE, kamwe msiitete serikali kama inakosea na wala mda mwingi...
Namsikiliza hapa waziri wa nishati na madini kwenye kipindi cha baragumu la msimbati itv amesems tena kwa msisitizo kwamba serikali ya tanzania haina pesa ya kufikia dola milion 100 ili iweze...
Rwandas Minister of Foreign Affairs, Louise Mushikiwabo on Monday in an interview with Radio France Internationale (RFI), said that Rwanda would not consider negotiating with Democratic Forces...
CUF Yatikisa Arusha Jana ni Julius Sunday Mtatiro Naibu katibu mkuu Bara Katika eneo la Arusha raha kata ya Elerai kumnadi mgombea wa CUF Mh Bayo.
Hizi ni picha za jana eneo la Elerai Wananchi...
Leo ni siku ambapo kiwanda cha saruji cha aliko dangote kinazinduliwa,kiwanda hicho kinategemewa kitoe ajira zaidi ya 5000 pindi kitakapoanza uzalishaji.uzinduzi huo unafanywa na waziri mkuu wa...
lipumba ametawala vichwa vya habari kwa kauli zake. kiukweli aliutamani urais wa tanzania na kwa bahati mbaya ama nzuri hakuweza kuwa rahisi, namfahamu kama profesa mchumi lakini asiye na mvuto...
Dar na mikoani. Wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisema CCM itazoa ushindi katika kata zote 25 katika uchaguzi mdogo wa madiwani ambao kampeni zake zinaendelea nchini kote, Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.