Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema wameweka wagombea kwenye ngome ya CCM katika jimbo na Mwigulu Nchemba katika chaguzi za vijiji kwa mara ya kwanza kabisa jana. Matokeo yanaonesha Chadema wamepata kura asilimia 28.34%...
5 Reactions
194 Replies
13K Views
29 May 2013 Diwani wa CHADEMA kata ya Mungaa jimbo la Singida Mashariki, Matheo Alex (wa pili kushoto aliyenyanyua mkono juu) akiwa katika chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mjini Singida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uzoefu unaonyesha kwamba wabunge waliowahi kuteulewa kuwa Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walishindwa kutetea viti vyao vya Ubunge katika majimbo yao. Dr. Diodorus Kamala alishindwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mhe. James Mbatia ameomba mwongozo unaotaka kujua serikali yetu ina budget ngap!! Swali hili limekuja baada ya wizara ya nishati na Madini kusema kuwa inatumia zaid ya Trillion moja kuzalisha...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Akionge na media.Mwakilishi wa LHRC bwana Sungusia amesema pamoja na serikali kutumia mabavu kutuliza mgogoro.Bado panahitajika msuluhishi huru na elimu kwa wana mtwara ili waweze kuwa na haki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi Mbunge wangu katika jimbo la Kilosa, Mh. Mkullo maji yapo shingoni, anasema kwa vile sasa yeye si Waziri, atapata muda mwingi wa kushughulikia kero za wanajimbo wake na hivyo kutimiza ahadi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ili kuthibitisha kuwa sheria ni msumeno na hakuna alie juu ya sheria,Jeshi la polisi linapaswa kutoa taarifa kwa umma ni askari wangapi wamekamatwa kwa tuhuma za uporaji,uchomaji nyumba n.k katika...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
*Sitta, Mwakyembe, Magufuli na Membe katika mizani ya uadilifu *Dk. Bana asema wanamvuruga Rais Kikwete, wamepwaya kiuongozi *Prof. Safari awaita matapeli wa kisiasa, Dk. Slaa awapuuza SIKU...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Baada ya prof. jay kujiunga na CHADEMA. Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu, Juma Kasim (Juma Nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo. Karibu sana Nature! Vijana sasa wanabadilika kwa...
4 Reactions
105 Replies
11K Views
SERIKALI hutoa ruzuku ya sh bilioni 36.7 kila mwaka kwa hospitali 97 za mashirika ya dini nchini. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alitoa kauli hiyo bungeni jana...
0 Reactions
123 Replies
11K Views
Salaam,, Mwisho wa wiki hii iliyoishia jana nilibahatika kutembelea kanda ya kusini nikimaanisha Lindi na Mtwara,,nilienda kikazi tokea wiki iliyopita na kunilazimu kutumia muda wangu wa weekend...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yafutayo yanatuangusha chadema :- 1.ofisi za uhakika (makao makuu ) 2.Gazeti huru la chama 3.Radio huru ya chama 4.Tv huru ya chama 5.Malipo kwa watendaje wake 6.vitendea kazi kama magari...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
:)ndugu wana jf katika kile kinachojidhihirisha ni kuzidiwa nguvu na chadema , ccm juzi walihairisha mkutano wao wa kampeni baada ya kujikuta wakiwa peke yao kwenye mkutano na watoto kibao...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Posted by admin on Saturday, May 25, 2013 · NAIROBI, KENYA: If the number and stature of foreign heads of governments that a country receives is a statement of its global importance, then...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wadau!,,awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia ya mwanamuziki Albert Mangwea pamoja na Watanzania wote kufuatia kifo cha msanii huyo nguli kilichotokea huko...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
NINGEPENDA KUFAHAMU DEMOKRASIA NDANI YA CDM INAVYOTEKELEZWA 1.NI vp kama binafsi nitatangaza nia ya kugombea uenyekiti pindi MBOWE atakapomaliza muda wake watu wataniponda na kuniona sifai je ni...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wengi tumekua tukifuatilia hotuba na maadhimisho ya hotuba za wizara mbalimbali lakini wizara ya ardhi imekua tofauti na nyingine.Wao wamejikita katika kuwasilisha hoja na siovijembe kwa wapinzani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imetoa notisi ya siku saba kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) pamoja na mmiliki wa jengo la ghorofa 16 lililopo Mtaa wa Indira Gandhi mkabala na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kabla ya Uchaguzi mkuu 2010 Ccm waliwaaminisha Watanzani kuwa Chama cha CUF ni chama cha KIDINI(Uislamu) Kitu ambacho mimi binafsi Sikuamini hata kidogo. Uchaguzi Mkuu 2010 Ccm hao hao...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
27 May 2013 CHADEMA wapata pigo Sengerema Na Mwandi shi We tu, Sengerema ALIYEKUWA Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( BAVI...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom