Tunatakiwa kuwa na mabadiliko ya kimfumo kabla ya vyama hili kuweza kusimamia serikali zetu vizuri,vinginevyo tutabadilisha sura za watu tu na mfumo utabaki uleule,tunatakiwa kuwa na mfumo unao...
Wednesday, May 29, 2013
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndg. Mattar Zahran Said akihutubia Wananchi na Wanaccm na kujidani huku akiomba ridhaa ya wananchi wamchague ili...
Namna rahisi ya kuishinda CCM ni kupitia IT, CCM viongozi wake wengi ni wazee ambao hawawezi kutumia techonolojia ya kisasa.
NI muhimu viongozi wa CDM wakapewa mafunzo juu IT.
Matumizi ya simu...
Kuna mbunge amekuja na wazo zuri sana, kwamba ili kuweka taifa vizuri, tunahitaji wakala wa upimaji ramani na viwanja wa kitafia.
Mamlaka yake yaishie kupima up to Discrict level.
Aliyesema ni...
Mtwara si wendawazimu|Paschally Mayega
RAIS wangu, walioliona jua kabla yetu wanasema kwenda mahakamani si kushinda kesi. Leo tunaambiwa wana wa Mtwara ni wa choyo. Wanataka gesi ya Tanzania...
Ndugu wana jf ''UKWELI NI DAWA YA UONGO,UKIKASIRIKA NIOMBEE''
NIMEONA NIANZE NA HAYO MANENO HAPO JUU.Uchaguzi wa ngazi ya wenyeviti ndo umetoa matokeo huko Iramba na kinikaona leo ni vizuri...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Dr.Wilbrod P.Slaa anatarajiwa kutunuku vyeti kwa wahitimu wa CHASO wapatao 188 kutoka vyuo mbalimbali Mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na...
WEDNESDAY, MAY 29, 2013
Na Abdulaziz Video,Lindi
Jeshi la Polisi Mkoani Lindi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za kupotosha wananchi zenye viashiria vya uchochezi na...
Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Anne Makinda jana aliizima hoja ya Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee kuhusu umiliki wa mashamba makubwa yasiyoendelezwa wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya...
Kuna mzee mmoja alichangia kwenye topic iliyopita kuwa kumbe hata Tanu kilikuwa chama cha vijana na matunda ya TANU kila mtu anayajua sasa mdau huyu ameshangaa sana baada ya kuona wale vijana wa...
Mtwara. Kamati iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kuchunguza madai ya Polisi kufanya vurugu wakati wa kutuliza ghasia zilizozuka Mjini Mtwara wiki iliyopita, leo...
Tarehe 21 /5/2013 Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) L iberatus Sabas ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha aliongea na waandishi wa habari juu ya shutuma zangu juu ya ujumbe wa maneno...
Mikakati mikali ya kutokomeza element zote za Chadema aka Magwanda zimeanza kila kitongoji kwa wananchi wenye Mapenzi na Uzalendo na nchi hii kuhakikisha chadema na hasa Dr Kitila...
Akichangia ktk hotuba ya wizara ya ardhi, mh John Shibuda, mbunge wa maswa kupitia CHADEMA amekisifia CCM kuwa ni chama cha maskini na wanyonge na ambacho kimelinda maslahi ya watanzania tangu...
Wadau nyeti mbili usiku wa leo ambazo pro CHADEMA mnapaswa kujiandaa kuzikabili kama CCM wataendelea na mpango wao kama ulivyopangwa ufanyike kuanzia kesho.
Kwanza kesho Team Lowassa, CCM na...
Ndugu wana JF...
Katika kanda zote, kanda ya Ziwa ilijaliwa utajiri wa ajabu sana, na pia wakazi wa kanda ya ziwa hususan wasukuma ni wapole mno, hii imekuwa ni fursa kubwa kwa CCM kuwatumia...
WanaJF Habar,
Kwa kweli hata CHADEMA Isipochukua nchi 2015 nitaumia sana ila naamini watakuwa hawajapoteza kwasababu;
1.Watanzania wamejitambua,
2.Viongoz wamejitambua
3.Watanzania wanaelewa...
Samweli Sitta amekuwa mbunge wa Urambo kwa miaka 35. Ameshika nyadhifa zote kubwa kubwa kuanzia Waziri mpaka Spika wa Bunge kwa vipindi vingi. Lakini tembelea Jimbo lake ukutane na maajabu ya...
Amesema serikali ya CCM inatoa bure chanjo za kichaa cha mbwa kwa wagonjwa ambao wanakuwa wamejeruhiwa na wanyama wakati ukweli ni kwamba dawa hizo hotolewa katika hospitali na vituo vya...
1.Lema hatomshitaki Mulongo kama kweli alitumiwa SMS ya vitisho.Asiishie kulalamika kwenye vyombo vya habari.
2.Kinana hatomshitaki Msigwa,kama kweli yeye sio "Dentist" wa meno ya tembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.