Kwa yanayoendele bungeni hasa namna kiti cha spika kinavyoendesha na kusimamia kanuni na sheria za bunge ni lazima viongozi wanaopewa madaraka ya kuendesha vikao vya bunge wawe na sifa...
sioni mantinki ya kumlazimisha wenje kuomba radhi ikiwa hayo maneno ya kuihusisha cuf na kutetea ushoga alikuwa bado hajayasoma pia alishakubali kuyaondoa.
Ndg wana JF
Najua kila mwanadamu anaimani yake! Ila kwa upande wangu mimi nina imani hii baada ya uchaguzi mkuu 2015.
Dr. Slaa ndiye ataye kuwa rais mteule wa nchi hii pamoja kwamba wapo...
Waraka wa Pongezi toka kwa Kamati Kuu ya CCM kuelekezwa kwa Watendaji wa chama hicho umenaswa. Waraka huo unapongeza kufikiwa malengo ya kumiliki Mabaraza ya Katiba ya Wilaya.
Katika Mabaraza...
Kwa jinsi mchakato wa katiba unavyoendeshwa ni dhahiri kuna dhamira ya wazi ya kutengeneza katiba itakayopendelea serikali ya ccm kwa kuweka mambo mengi ya kuifuraisha serikali ya ccm. CCM...
Na Fredy Azzah, Mwananchi (email the author)
Posted Jumapili,Mei26 2013 saa 18:59 PM
KWA UFUPI
Habari ambazo gazeti hili imezipata zinasema matokeo hayo ambayo yamewezesha kiwango cha...
MTOTO mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine, ameibuka na kutoa madai mazito ya kutaka mwili wa baba yake ufanyiwe uchunguzi, kubaini chanzo cha kifo chake...
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa mwongozo unaoruhusu kuanza rasmi kwa uundwaji wa Mabaraza ya Katiba ya asasi, taasisi na makundi mbalimbali kwa lengo la kujadili na kutoa maoni kuhusu rasimu...
Jana nlikuwa nasiliza majadala kuhusu Vikundi vya msimamo mkali wa kidini barani Afrika ziara ilioanza Zanzibar na kumalizikia Rwanda.
Katika mjadala wote BBC SWAHILI walionyesha kwamba chombo...
Akiongea ktk mkutano wa adhara tena mbele ya katibu mkuu wa CCM ndugu kinana Mh. Deo Filikunjombe aliongea maneno haya na naomba kuyanukuu."Ndugu zangu wana Ludewa sipendi kuona yale yaliyotokea...
Katika hatua ya pili ya kampeni huko Manchira Serengeti chama cha Demokrasia na maendeleo kimeanza hatua mpya ya harakati za kampeni zikijumuisha mbinu ya nyumba kwa nyumba. Mbinu hiii imetikisa...
Kwanza nimpongeze sana mwanamziki mahiri na mwasisi wa mziki wa kizazi kipya nchini Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay kwa kujiunga na jeshi la ukombozi (Chadema). Nampongeza nikikumbuka...
Tumemskia magfli akikana kuwa katika kundi la sita na kukana kumchangia ktk harambee huko mwanza na magufuli kudai hana kundi na hayupo upande wa sita je sita amefiliska kisiasa kwa kumtumia...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hamchukii Rais Jakaya Kikwete kwa sababu ya dini yake bali kwa udhaifu wa serikali anayoiongoza.
Alisema...
Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!16 October 2010
Na Maggid Mjengwa,
MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na...
Ndugu Wana JF!
Kunakitabu kinachoelezea namna Azimio la Arusha lilivyopaa na baadae kutunguliwa na serikali tukufu ya CCM katika miongo miwili. Kimeandaliwa na Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu...
KONGAMANO KUHUSU MUSTAKBALI WA ZANZIBAR KATIKA KATIBA MPYA
BONYEZA
swahilivilla: Sikiliza kwa makini kamati ya maridhiano six: kongamano la kitaifa la mwongozo wa katiba ya Tanzania ya 1-2-3-4
WEDNESDAY, MAY 29, 2013
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwatambulisha Viongozi katika ujumbe aliofuatana nao kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa China...
SerikalI imesema inatambua MCT/ jukwaa la wahariri na baraza la habar...
Chikawe amesema vyombo hivi ni muhimu na vina mchango mkubwa katika tasnia ya habari. Hii ni tofaut na kauli aliyoitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.