Napenda kuwajulisha kuwa mgombea wa CCM kata ya themi niliemjua kwajina moja la Victer leo alikuwa anagawarushwa waziwazi katika ofisi ya CCM iliyoko maeneo ya kambini.
Ameandikisha majina ya...
MCHUCHUMA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza...
Wako askari polisi wengi tu wenye nia njema na raia, hii ingawa shida ni unafiki na umbea na fitina na kusemana tulizoambukizwa na vyombo vya habari kutoka kwa wanasiasa wetu. Nikikutana na...
by JOHN BUKUKU on MAY 28, 2013
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu "MKUUPOLISI"...
Chadema ni taifa jipya ambalo halitetereki na kila kukicha inaonyesha kuongezeka nguvu kitu ambacho miaka kadhaa CCM ilikuwa inajivunia umaskini wa vyama vya upinzani kushindwa kuhimili sababu ya...
Walaani chokochoko za udini unaonezwa na baadhi ya vyombo vya habari.
Chama cha wananchi CUF kimepinga na kulaani kile kilichoandikwa na Gazeti kukishutumu chama/mwenyekiti wake kuwa kaongea...
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA VIJANA CUF TAIFA(JUVICUF) MHE. KATANI A. KATANI AMEKAMATWA NA ANASHIKILIWA NA POLISI JIJINI DSM KWA KUHUSISHWA NA KILE KINACHOITWA "UCHOCHEZI WA VURUGU ZA MASUALA YA...
Ukurasa wa Nne wa Gazeti la Nipashe la leo Umeandikwa hivi; TANESCO IMESHINDWA...
Waziri wa Nishati akiri kushindwa kwa Tanesco kuzalisha umeme, kwa hiyo sasa Shirika hilo litabakia kama...
pande za viwanja vyambagala zakhem jana tarehe 29/5/2013, pale dr.Slaa alipomkabidhi diwani kwa wanachi wa mianzini ili wampigie kura. Mkutano huo uliouzuliwa na vijana kwa sana. Kwa mujibu ya...
KAIMU Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mtwara, Felician Melikisedeki, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa muda wa siku 10 bila kufikishwa mahakamani...
Wakuu,
Mwenendo wa Bunge la JMT linatia wasiwasi jinsi linavyoendeshwa. Katika matukio yanayovuta hisia za watu wengi ni pale linapoahirishwa ghafla wakati wa kuwasilisha hotuba zake, hasa za...
nachukua Nafasi hii kujaribu kuielewesha jamii kuhusu yanayoendelea bungeni.moja kuhusu mvutano baina ya wabunge.
lazima jamii ijue kuwa haiwezi tambua ukweli wa yasemwayo ndani ya bunge kwa fikra...
MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MARIDHIANO ZANZIBAR KUHUSU UPI UWE MWELEKEO WA WAZANZIBARI KATIKA KUIJADILI RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ITAKAYOTOLEWA NA TUME YA MABADILIKO YA...
Ni kawaida kwa Rais Kikwete kutoa kauli juu ya matukio makubwa au yasiyofaa katika jamii.Raisi Kikwete amekuwa akifanya hivyo japo kwa kuchelewa lakini huzungumzia matukio haya katika hotuba zake...
Upelelezi kesi ya Lema wakamilika
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema
Upelelezi wa kesi ya kuchochea kutenda kosa na kusababisha uvunjifu wa amani katika Chuo cha Uhasibu Njiro...
Karibu kila Bajeti Mbadala ya Kambi Rasmi ya Upinzani, inayoundwa na CHADEMA na kuongozwa na Mh. Freeman Aikaeli Mbowe,imekumbana na upinzani mkali hasa toka kwa Wabunge wa CCM na wa vyama vingine...
VIONGOZI
ngumu kumeza
Kwanza nianze kusema ndani ya chama kuna viongozi hasa baadhi ya viongozi wa juu wa chama wanaokiharibu chama wakiamini kabisa wanakijenga chama. Kiukweli dhamira yao si...
Mambo haya kimsingi hatupendi kuyasikia, CDM ni Chama Kikubwa labda VIONGOZI wake hawalijui hili. Inashangaza sana ati baadhi chaguzi ndogo misukule wanapita bila kupingwa.. Kitu hii haivumiliki...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. EZEKIAH DIBOGO WENJE (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KWA MWAKA WA...
Edward Lowassa huenda ndio mwanasiasa anayeonekana mchafu zaidi hapa Tanzania kutokana na kashfa za Ufisadi zilizomfanya kujiuzuru bafasi ya uwaziri mkuu 2008.
Mbali na hapo inaonekana ndio mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.