Dawa na tiba ya kudumu ni Zanzibar itawaliwe na Gavana au waziri Mkuu Kama ilivyokuwa kwa miungano ya UK na USA Pia TZ Bara (Tanganyika) itawaliwe na Gavana au Waziri Mkuu Ahamie pale Magogoni Rais awe Mmoja tu ahamie DODOMA kwa makazi ya kudumu.Hakika kero ya muungano itakwisha Utawala utaimarika zaidi Udini na mapungufu yote yatakuwa historia Uzoefu umeonyesha utawala Wa aina hizo huwa imara kiuchumi na ni rahisi kutatua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.