Kwa CoL Kinana na Nape Nnauye

Kwa CoL Kinana na Nape Nnauye

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Katika ziala yenu ya majukwaani mkoa wa Njombe pambaneni na CHADEMA kisayansi bahati nzuri mtakutana na mwenzenu mzoefu Deo FILIKUNJOMBE, kamwe msiitete serikali kama inakosea na wala mda mwingi msiutumie kuitaja taja CHADEMA. Waelezeni wanainchi maana ya:

  1. Maisha bora kwa kila Mtanzania sera hii ya CCM ni nzuri sana ikitekelezwa ipasavyo ila chama kinakwamishwa na watumishi wasiowaaminifu wa halimashauri zipatazo 136, maana wanakwiba hela zote zinazotumwa katika halimashauri zao ili kutekeleza miradi ya maendeleo, hii ni fursa nzuri kwenu(Kinana, Nape ) kuwasisitiza madiwani wasimamie vizuri hela za miradi, waambieni madiwani wawaangalie sana watendaji na wahoji hizo nyumba na magari wanayonunua.
  2. Pia ni fursa kwenu kuwaambia wanainchi jinsi serikali yao inavyoshghurika na kudhibiti mfumko wa bei kwani nao ni kikwzo katika utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila Mtanzania
  3. Kwamwe msijihusishe na matusi hasa wewe Nape mambo yako ya kusema eti CHADEMA ni nguruwe kamwe wanainchi hawawezi kukuelewa na ndo utalikoroga kabisaaaa
  4. Pia waelezeni wanainchi jinsi serikali yao inavyojishughulisha na kupiga vita masuala ya rushwa ambayo imeshamili kiasi taasisi nzima kama bunge linahongwa.

Mwisho waelezeni wanainchi namana serikali yao inavyoshughurika na wale wanaofuja raslimali ya taifa kama majangili wanaouwa tembo na kusafirisha vipusa, masuala ya kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji na wale wanaotorosha hela na kuweka banki za inje wote hawa wanakwamisha utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila mtu.

Mukisema yote haya majukwaani bila matusi hakika CHADEMA kwisha na tegemeeni kuvuna kadi nyingi sana toka upinzani,

Nawatakia kazi njema

Ebaeban
Tel.Aviv.
 
It is nice advice but you are giving the wrong people at the wrong time. Ningeshukuru kama akiongelea pembe na meno ya tembo wetu.

Ni miaka nane sasa bado miaka miwili tu watafanya nini?
Wamekumbuka shuka wakati kumekucha.

Tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell::yell:
 
Habari wana JF

Katibu mkuu wa CCM mh Kinana yupo ziarani mkoani Njombe akiwa ameambatana na katibu wa Itikadi na uenezi Nape NNauye na wabunge wa mkoa huo, tukiachilia mbali sababu ya hiyo ziara ya wazito hao ndani ya chama tawara kinachosikitisha ni muitikio wa watu wa mkoa huo kwenye mikutano inayoendelea mkoani huko! Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV nimesikitishwa sana na mahudhurio kwenye mikutano hiyo na nikajiridhisha kuwa hata hao waliofika wamefika ama kumsikiliza Deo Filikunjombe maana ndio pekee alieonekana kufurahiwa na wananchi hao!!

Kama hali yenyewe ndio hii, basi muda wenu wa kwenda kaburini umekaribia sana.

Kama umemis taarifa ya habari ITV unaweza kujionea mwenyewe hapa

Mazungumzo ya kutafuta suluhu kati ya Tanzania na Malawi yanaendelea... - YouTube
 
Hata jana ilikuwa hivyo hivyo na hapo palikuwa mjini nikajiuliza population ya ludewa, channel ten nao wameonyesha mmh inaonekana hao wana ludewa Kinana na Nape sio sampuli yao
 
Habari wana JF

Katibu mkuu wa CCM mh Kinana yupo ziarani mkoani Njombe akiwa ameambatana na katibu wa Itikadi na uenezi Nape NNauye na wabunge wa mkoa huo, tukiachilia mbali sababu ya hiyo ziara ya wazito hao ndani ya chama tawara kinachosikitisha ni muitikio wa watu wa mkoa huo kwenye mikutano inayoendelea mkoani huko! Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV nimesikitishwa sana na mahudhurio kwenye mikutano hiyo na nikajiridhisha kuwa hata hao waliofika wamefika ama kumsikiliza Deo Filikunjombe maana ndio pekee alieonekana kufurahiwa na wananchi hao!!

Kama hali yenyewe ndio hii, basi muda wenu wa kwenda kaburini umekaribia sana.

Kama umemis taarifa ya habari ITV unaweza kujionea mwenyewe hapa

Mazungumzo ya kutafuta suluhu kati ya Tanzania na Malawi yanaendelea... - YouTube

kwa taarifa yako hao watu uliowaona ni kwenye kata moja,mimi nilijua umepost kitu cha maana kumbe bule kabisa
 
Ludewa , wana mwamko mkubwa tu tofauti na wanavyofikiriwa. Hao viongozi wanaokuja kutoka magambani wanakejeliwa tu. Upinzani haujawekeza vya kutosha huku. Kuna litalipuka kama wananchi hawataelezwa vizuri kuhusu makaa ya mawe na chuma hasa mapato. Bado Deo anaonekana mwakilishi mzalendo kwa wananchi wa itikadi zote.
 
vip hawakupika wali nini????
na vipi kuhusu yale mafuso yanayobeba wanachama leo hayakuwepo????
au greenguard hawajapewa posho kufabya uhamasishaji?????
 
na hao itakuwa wamefika kuona burudani ya ngoma, ndo maana Kangi Lugora alivyo mwelevu, kwa kuhisi watu wamefuata burudani ya ngoma akaona ajikite kusakata ngoma.
 
Hapa tulipofikia CDM lazima isikike kwa sababu ni tishio la CCM.
Uhai wa CCM unategemea kifo cha CDM which is a nightmare so far.
CCM wamekosa ujasiri wa kujibu hoja kwa hoja matokeo yake wanajibu hoja kwa kuipaka 'nnya' CDM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa namna mambo yalivyo sina hakika kama kuna Mbena yeyote atakayedanganywa leo ili kushawishiwa na kutoa kura ya ndiyo...kwa pita yangu ya muda mfupi Njombe nadeclare kwamba Ludewa ina hadhi ya wilaya ili kurahisisha utawala ama niseme kabisa kugawana nyadhifa...Yes...ni takribani saa nne kutoka junction ya kuelekea Songea kutokea Njombe kufika Ludewa ukipita kwenye bara bara isiyo ya uhakika na kuvuka madaraja yaliyobuniwa na wazee wetu wa jadi...leo utamwambia nini mwana Ludewa?
Njoo Makete,kitu pekee wanachojivunia Wakinga ni kipande cha Km moja na ushee kwenye kamlima kalikokua threat miaka nenda rudi,labda na Hospitali kubwa waliyonayo 'ya kuchukulia takwimu' ya wilaya gani inayoongoza...Maana Makete imekua kinara kwa miaka ya Karibuni..Kuna miji mikubwa ambayo imekua na seminari zilizowatoa tongo tongo watawala wetu hawa km Kidugala ambazo kufikika kwake ni kaza moyo...
Nionavyo,badala ya hawa Mabwana kupoteza gharama kubwa za kutalii na kupotezea wenye kwao muda wa kujipatia chochote wajitathmini wenyewe wajue ni wapi walipopotoka kabla hawaja kwa wananchi na kuwaomba radhi,ikiwezekana kuomba likizo ili kujifunza kwa watakaopewa ridhaa baada ya wao kuchezea bahati!
 
katika ziala yenu ya majukwaani mkoa wa njombe pambaneni na chadema kisayansi bahati nzuri mtakutana na mwenzenu mzoefu deo filikunjombe, kamwe msiitete serikali kama inakosea na wala mda mwingi msiutumie kuitaja taja chadema. Waelezeni wanainchi maana ya:

  1. maisha bora kwa kila mtanzania sera hii ya ccm ni nzuri sana ikitekelezwa ipasavyo ila chama kinakwamishwa na watumishi wasiowaaminifu wa halimashauri zipatazo 136, maana wanakwiba hela zote zinazotumwa katika halimashauri zao ili kutekeleza miradi ya maendeleo, hii ni fursa nzuri kwenu(kinana, nape ) kuwasisitiza madiwani wasimamie vizuri hela za miradi, waambieni madiwani wawaangalie sana watendaji na wahoji hizo nyumba na magari wanayonunua.
  2. pia ni fursa kwenu kuwaambia wanainchi jinsi serikali yao inavyoshghurika na kudhibiti mfumko wa bei kwani nao ni kikwzo katika utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila mtanzania
  3. kwamwe msijihusishe na matusi hasa wewe nape mambo yako ya kusema eti chadema ni nguruwe kamwe wanainchi hawawezi kukuelewa na ndo utalikoroga kabisaaaa
  4. pia waelezeni wanainchi jinsi serikali yao inavyojishughulisha na kupiga vita masuala ya rushwa ambayo imeshamili kiasi taasisi nzima kama bunge linahongwa.

mwisho waelezeni wanainchi namana serikali yao inavyoshughurika na wale wanaofuja raslimali ya taifa kama majangili wanaouwa tembo na kusafirisha vipusa, masuala ya kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji na wale wanaotorosha hela na kuweka banki za inje wote hawa wanakwamisha utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila mtu.

Mukisema yote haya majukwaani bila matusi hakika chadema kwisha na tegemeeni kuvuna kadi nyingi sana toka upinzani,

nawatakia kazi njema

ebaeban
tel.aviv.
umehama topic aliyekuambia wafanyakazi wa hw ni marufuku kujenga nyumba na magari nani? Huna akili hivi form four ulipata divion gani wewe. Na aliyekuambia maisha bora yataletwa na hela kiduchu za halamashauri nani.wewe na wewe ni kiazi umetumwa na ccm kusingizia ahadi zao haikitmia kwasababu ya wafanyakazi wa halmashauri. Hivi epa na iptl , richmond, na symbion,ni za halamashauri?
 
umehama topic aliyekuambia wafanyakazi wa hw ni marufuku kujenga nyumba na magari nani? Huna akili hivi form four ulipata divion gani wewe. Na aliyekuambia maisha bora yataletwa na hela kiduchu za halamashauri nani.wewe na wewe ni kiazi umetumwa na ccm kusingizia ahadi zao haikitmia kwasababu ya wafanyakazi wa halmashauri. Hivi epa na iptl , richmond, na symbion,ni za halamashauri?

Mnaiba mno Mnama, mnaiba nyama mpaka na mizani,
Nukuu point hapa NAPE, jamaa wameanza kutoa povu,
 
Back
Top Bottom