Tukitafakari kipengele hichi cha rasimu ya kaiba mpya

May 25, 2013
90
32
TUME YA UTUMISHI WA UMMA. KIFUNGU NA 178
KIFUNGU KIDOGO NA (4) "Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma atateuliwa na Rais baada ya kuidhinishwa na Bunge kutoka miongoni mwa watumishi waandamizi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano".

Hapa kusema kweli sikubaliani napo, nadhani itatakiwa iwe ateuliwe kwanza na Rais ndipo aidhinishwe na Bunge.
Embu tujadili tuwape mwanga mabaraza ya katiba na hata Bunge la katiba ili mwisho wa mchakato tupate katiba nzuri
 
Back
Top Bottom