swali la kizushi,Mwl Nyerere angesemaje?

Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Likes
89
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 89 0
Just thinking aloud,hivi Marehemu Mwalimu ange react vipi baada ya kusoma hii rasimu ya Katiba?
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,985
Likes
4,046
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,985 4,046 280
Just thinking aloud,hivi Marehemu Mwalimu ange react vipi baada ya kusoma hii rasimu ya Katiba?
Alikuwa ni great thinker so nahisi angesema umefika wakati wa kuanzisha serikali tatu maana watanzania wameshakomaa kwenye muungano kama alivoridhia kuanzishwa vyama vingi 1992!
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Kwa kuwa at one time aliwahi kusema CCM siyo mama yake angeweza kunyamaza tu kwa kuogopa shinikizo la damu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Likes
89
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 89 0
Alikuwa ni great thinker so nahisi angesema umefika wakati wa kuanzisha serikali tatu maana watanzania wameshakomaa kwenye muungano kama alivoridhia kuanzishwa vyama vingi 1992!
Mkuu OSOKONI unakumbuka Mwalimu alivyowafurumusha Late Kolimba na Mzee Malecela kwa 'kumpotosha' Mzee Mwinyi juu ya madai ya G55 kutaka serikali tatu? Nyerere hakuwa mtu wa kubadilika kihivyo.
 
Last edited by a moderator:
kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
1,823
Likes
50
Points
145
kichwat

kichwat

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
1,823 50 145
Kwa kuwa Mwalimu alikuwa MZALENDO na MWEREVU angesema rasimu ya katiba imezingatia matakwa ya WAKATI tulionao.
 
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Likes
89
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 89 0
Kwa kuwa at one time aliwahi kusema CCM siyo mama yake angeweza kunyamaza tu kwa kuogopa shinikizo la damu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hili sidhani kama angelinyamazia......he always said 1+1=2
 
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Likes
89
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 89 0
Kwa kuwa Mwalimu alikuwa MZALENDO na MWEREVU angesema rasimu ya katiba imezingatia matakwa ya WAKATI tulionao.
Kambarage wa Burito? Aliyewaambia IMF/WB hawezi kugeuka jiwe?
 
Forum statistics

Threads 1,273,879
Members 490,535
Posts 30,494,902