Tume ya Warioba imebeza na kupuuzia kurudisha mfumo wa Majimbo ikidai itajenga ukanda na ubaguzi. Halafu "magenius wetu" hawa wakaamua kupendekeza kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika na ya...
wadau hili mnalionaje kama likiwepo kwenye katiba mpya?
Moja wapo ya matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ni kutelekezwa na viongozi,watoto wao wanasoma shule za nje ya nchi au shule binafsi za...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Muundo wa Muungano bado hauridhishi
..
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
..
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji na Wakili Msomi Fredrick Mwita Werema anatarajiwa,wakati wowote kuanzia sasa,kuanzisha mchakato wa kuandikwa kwa Katiba ya Tanzania Bara.
Taarifa rasmi toka...
wadau amani iwe juu yenu.
nimekuwa nikijiuliza kuwa since ikulu ya magogoni ndio ilikuwa makao ya serikali yetu tukufu ya TANGANYIKA (najivunia TANGANYIKA kurudi tena) sasa swali kuu ni...
Wazanzibari wengi wamesikika wakiiponda Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais,Dr.Mohamed Gharib Bilal. Sehemu kuuw aliyoilenga ni ya uwepo wa Serikali tatu: Serikali ya...
Dar es Salaam/Dodoma: Mapendekezo yaliyotolewa katika Rasimu ya Katiba Mpya na Tume ya Marekebisho ya Katiba yamewavuruga wanasiasa ambao tayari walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kuwania urais...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Ahmed Rajab
Toleo la 297
5 Jun 2013
JAJI mstaafu Joseph Warioba na Tume yake ya Mabadiliko ya Katiba wametamka na wananchi wamewasikia...
Wakati Mwalimu Nyerere alipokwenda kuonana na Mzee Abeid Amani Karume kuhusu kuziunganisha Nchi mbili huru Zanzibar na Tanganyika alikuwa na dhamira ya kuitawala Tanganyika Maisha. Ili afanikiwe...
Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.
nimeisoma na kuielewa vizuri rasimu mpya ya katiba ni nzuri lakini katika hili inabidi tulitazame tena lakini kama haiwezekani iachwe kwa sababu mtoto akilia wembe......
1. Suala la serikali tatu...
Wandugu mimi ni mjumbe wa baraza la katiba la wilaya ila hadi sasa hamna clue yoyote kwa tarehe halisi ya kuanza mabaraza hayo japo tuliambiwa yanaanza mwezi huu wa sita na wiki imeshakatika. Kuna...
Wakuu JF great Thinkers Asalam Aleikuum,
Nipende ku express Feeling zangu kuwa kwa Hali ninayoiona kuna uwezekano Rasimu ya Katiba kipengele cha Serikali 3 Kisipite. Kikwazo kikuu cha Kupita...
Kwa namna muundo wa katiba mpya ulivyo itakua ngumu kuendelea na madaraka kwani kila kitu kitabadilika na tume ya uchaguzi itabadilika na ivo wazee wa kuiba kura kuwa katika wakati mgumu
Mi bado napata tabu kuamini kwa miaka yote toka uhuru,wizara haina choppers za kulinda maliasili? aibu,leo napata taarifa kuna misitu kanda ya pwani itakwisha muda si mrefu! sasa misitu inakwisha...
Ngoma inayochezwa na CCM ama mpigaji haijui au anafanya makusudi,nasema hivi kutokana na kuwa mchagua wimbo ndiye humlipa mpiga zumari.Nchi imekumbwa na matukio makubwa ya Watanzania kugawanywa...
Ndugu Wanajamvi,
Najua kuna watu wengi wanalichukulia suala la CUF na Uliberari kirahisi rahisi. Hili suala ni rahisi kwa sasa kwasababu halijaleta madhara bado.
Je umeshawahi kujiuliza kwamba...
Roho yangu ni ngumu kuliko ninavyoweza kuielezea. haswa kwa masuala yanayohusu nchi yangu Tanzania. couse nilijua siku njingi kuwa tanzania ndiye mama yangu mpendwa, na sikupenda abadan kuikosea...