Mamlaka ya raisi kuteua viongozi wa juu serikalini - rasimu 2013.


M

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2007
Messages
1,701
Likes
210
Points
160
M

Misterdennis

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2007
1,701 210 160
1. Mamalaka ya rais kuteuwa viongozi wa juu yaishie ktk ibara zifuatazo tu:

Ibara ya 69(2)(e): kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama

Ibara ya 69(3)(c)-(e):kuteua mawaziri na manaibu waziri, katibu mkuu kiongozi na makatibu wakuu; mwanasheria mkuu na naibu mwanasheria mkuu;

Napendekeza rasimu ibadilishwe ili nafasi zingine zote ; kwa mfano, nafasi za makamishna (ibara ya 69(3)(f) zisiwe chini ya uteuzi wa Rais.
Badala yake hawa watu wapeleke maombi yao na kufanyiwa vetting/interview na the best candidate awe appointed kwenye nafasi husika.


2. Rais Kuteua makatibu wakuu bila kithibitishwa na Bunge:

Rasimu inapendekeza kuwa Raisi ateue makatibu wakuu [ibara ya 99(1)], bila ya kuthibitishwa na bunge!
Hii ni weakness kubwa sana kwa sababu Makatibu wakuu ndio viongozi wakuu na watendaji wakuu wa Wizara (wizara ndio serikali yenyewe!)

haiwezekani watendaji wakuu wa serikali wasithibitishwe na Bunge.

Mapendekezo:

Kwenye ibara ya 99(1), yaongezwe maneno yafuatayo. Makatibu wakuu walioteuliwa na Rais lazima wathibitishwe na Bunge, (au maneno mengine yenye maana sawa na hii)

Bila kufanya hivyo tutawekewa watu wengine akina Jairo na yule aliyekuwa katibu mkuu kiongozi.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Da! Hii itakuwa issue kwa kuwa kama atakuwa na wafuAsi wengi bungeni wataishia kusema ndiyooooo, wakati wa kuwathibitisha. Lakini naona hata Kenya wanafanya hivyo. Nadhani hata Ghana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,274,860
Members 490,833
Posts 30,526,158