Hotuba ya waziri kivuli Zitto iliyosomwa kwa niaba yake na Silinde imeibua ufisadi mwingine BOT pamoja na hasara waliyopata BOT mwaka jana.
2.1.2 Taarifa ya ukaguzi wa hesabu za BOT ya mwaka...
Pamoja na kwamba umeshika nafasi ya pili, umeonesha uwezo mkubwa wa kujieleza na kujibu maswali ya wabunge. Kumbuka mfumo dume bado umetawala sana ktk nyanja za kiungozi. Kura ulizopata ni ushindi...
Kinana: Hatuungi rasimu ya katiba kwa 100%. Hii ni kauli ya Kinana kama ilivyoandikwa na magazeti mengi ikiwemo lile la Nipashe. In fact, ameitisha kikao cha CC kujadili rasimu hii na kutoa...
Inasikitisha sana kuona ndani ya jf hakuna watanzania makini wa kujadiliwa katika tasnia ya uongozi wa juu wa nchi yetu kwa mustakabali wa taifa letu.
Bali tumekuwa tukiletewa baadhi ya wana...
.... Baada ya kuukwaa ubunge wa kuteuli na Mh. JK.. wengi walidhani JK amepunguza tu idadi ya wabunge ambao anastahili kuwateua kwa mujibu wa katiba....Binafsi nampongeza kwa zile cheche na...
Kwa Aliyesoma Na Kuielewa Rasmi Ya Katiba Mpya Bila Shaka Anaweza Ungana Nami Ktk Kutoa Maoni Ya Kulitetea Taifa Letu.
Madhalani Naweza Gawa Rasmi Hii Ktk Makundi Mawili (a). Utaifa Na Mfumo Wa...
.... UTAJIRI WA NCHI YANGU TUKUFU TZ...ni mkubwa mno.... ila umaskini...ujinga na maradhi kwa wananchi wake UNATISHA....maendeleo bado mno....huu ndio utajiri wetu....while we are poor poorer &...
Ukienda katika rasimu sura ya sita
57.-(1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:
(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
(b) Serikali ya...
Baada ya kuhudhuriwa na watu wasiozidi 50 mkutano wa Makamu wa Raisi kumnadi John Bayo aliefukuzwa na CHADEMA mgombea huyo(John Bayo) ameagua kilia akiwaomba wananchi wajitokeze kuja kumskiliza na...
Ni wazi wabunge wengi wa CCM huwa hawafanyi utafiti wa kutosheleza kuwawezesha kuwa mahiri katika kuchangia hoja za serikali. Ni wazi kwa nini wengi wao huishia kuwa mawaziri vivuli sehemu ya...
Wana JF
Nianze kwa ku declare interest kuwa mimi kwa upande wa masuala ya siasa niko upinzani lakini kuwa mpinzania haina maana ya kukosoa kila kitu hata pale panapostahili kupongeza
Mh. Jakaya...
Kuwa na selikali tatu ni kuweka mzigo mkubwa wa kuwa na viongozi wengi mno na mawaziri wengi na bora uvunjwe tu.
Tanganyika bora tudili na kujenga tanganyika yetu kuliko na kuwaza tanganyika na...
kwenye taarifa ya habari ya itv 2 uck huu mh halima mdee pamoja na diwani wa eneo hilo amewaambia mafundi gereji eneo la tegeta wakeshe na hakuna kuondoka mpka serikali itakapowaona mbunge huyu...
Katika hali isiyo ya kawaida,Spika Makinda leo hii asubuhi wakati wa mjadala wa wizara ya fedha alisifu mchango wa mh.Kafulila alipochangia katika bajeti ya wizara ya fedha.
Kilichotokea ni kuwa...
Napendekeza aqepo rais mmoja wa Muungano na awe na makamu wawili wa marais mmoja atoke bara na mwingine atoke visuwani. Na rais wa muungano awe anatoka sehemu yoyote ya muungano.
Nawasilisha
Kutokana na Rasimu ya katiba mpya kupendekeza muungano wa serikali tatu yaani Serikali ya Tanzania bara, Serikali ya mapinduzi ya Zanzibari na Serikali ya shirikisho ( MUUNGANO).
Kama kweli...
Katika kile kinachoonekana ni udhaifu wa watendaji wa wateule wa Mh. Rais Jakaya Kikwete Mh Novatus Makunga dc wa Hai amelalamikiwa na wananchi wa kwa kushindwa kutatua migogoro ya vijiji na...
Ni huzuni, Nimajonzi na Simanzi hapa Wilayani Lushoto, Baada ya kada mashuri na Mwenyekiti wa Baraza la Akina Mama kufariki Dunia jana usiku katika Hospitali ya Bombo Mkoani Tanga.
Marehemu...