Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MIEZI mitatu, baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa agizo la kutaka kufungwa mara moja kwa Hospitali ya Ibrahim Hajj iliyopo jirani na jengo la ghorofa 16 lililoanguka,agizo hilo linaonekana wazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndani ya rasimu hii tumeingiziwa serikali tatu yaani Ya Tanganyika,Zanzibar na ya Muungano,na mpaka sasa Zanzibar wanayo katiba yao kwa sasa tunahangaikia ya katiba ya Muungano ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katiba mpya yafuta urasimu wa kutoa habari Na Salome Kitomary 11th June 2013 Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, Jaji Joseph Warioba. Rasimu ya Katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wadau. Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo: 1.Hoja ya gharama Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali...
4 Reactions
162 Replies
16K Views
Wadau naomba sana kujua walioiongoza wizara ya maliasili na utalii tangu uhuru na muda waliokaa wizarani kabla ya Balozi Kagasheki.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zanguni, Kama nilivyowajuza hapo mwanzo kuwa chadema ni mkusanyiko wa wapiga deals wachache. Leo nimepokea ujumbe kwenye page yangu ya facebook kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kama ni...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha. Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta! Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
• Makundi ya urais yachochea maandamano kupinga serikali tatu na Mwandishi wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka mkakati wa kuipinga rasimu ya Katiba mpya, hususan pendekezo la muundo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Rasimu ya katiba mpya inaonekana kuitesa sana Ccm kwa kuhofia ndo mwiba kwao,wameahidi kutoipitisha kwa 100%.nadhan kwa katiba hi endapo vurugu itatokea basi ni ccm watakuwa ndo waanzilishi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Licha Ya Wachache,Kuna Muhamko Mdogo Kwa Wanawake Kote Nchini Kujihusisha Na Siasa Za Mageuzi (mabadiliko) Ukiwaambia Utasikia Hayanihusu. Je Hii Inatokana Na Nini? Ulimbukeni? Au Uelewa Finyu Wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
“Nchi ina mzigo wa madeni” Dodoma. Zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya Bajeti Kuu ya Serikali kusomwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Nembo ya Tanzania Nembo ya Tanzania ni ngao ya askari inayoshikwa na watu wawili. Ngao ina sehemu nne: juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini...
3 Reactions
73 Replies
15K Views
Ngugu wanajamvi, poleni na kazi zenu za uchambuzi. Jana kama mlivyofahamishwa ni kwamba mbunge wa Mtwara Mjini ndugu mMurji kakamatwa kuhusiana na siasa za mtwara na mambo ya gesi. Sababu hasa ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba. Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi...
5 Reactions
85 Replies
8K Views
  • Closed
Hatma ya Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Wilfred LWAKATARE kupatiwa dhamana itajulikana leo wakati Hakimu atakapotoa uamuzi juu ya maombi yakupatiwa dhamana leo.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi leo nimeona niseme tu kuwa kwa jinsi siasa zza nchi hii zinzvyo kwenda ni MUNGU peke yake anae weza kutunusuru na janga hili lililo mbele ya WATANZANI. Leo nilikuwa nafuatilia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzee Warioba, Nakuangalia mzee wangu ITV... Mmmmmhhhhhh..........kaaaaaazi kweli kweli......itikadi ya vyama iendane na dira ya nchi......how do the Katiba enforce this? Freeman, Kinana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
He is old and has nothing to lose. We should have put a hungry youth man with all to live for.Katiba rasimu ingekuwa fresh. Jadili
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…