Watangulizi wa Kagasheki

Watangulizi wa Kagasheki

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Wadau naomba sana kujua walioiongoza wizara ya maliasili na utalii tangu uhuru na muda waliokaa wizarani kabla ya Balozi Kagasheki.
 
Nataka kujua kwa nini hawakai muda mrefu
 
Nataka kujua kwa nini hawakai muda mrefu

Mkuu Wambi, kujua majina na muda waliokaa itakusaidiaje kufahamu sababu za wao kutokaa muda mrefu ? Hatahivyo, mbona wapo waliokaa muda mrefu au una lako jambo ? Hata hivyo, sio vibaya kufahamu historia ya nchi yako. Ni hawa hapa.

1962-1965 MheshimiwaTewa Saidi Tewa


1965-1970 Mheshimiwa Dereck Bryceson
1970-1975 Mheshimiwa Hosnu Makame
1975-1980 Mheshimiwa Solomon Ole Saibul
1980-1982 Mheshimiwa Isaack Sepetu
1982-1983 Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi
1983-1984 Mheshimiwa George Kahama
1984-1985 Mheshimiwa Paul Bomani
1985-1987 Mheshimiwa Getrude Mongella
1987-1989 Mheshimiwa Arcado Ntagazwa
1989-1990 Mheshimiwa Marcel Komanya
1990-1993 Mheshimiwa Abubakar Mgumia
1993-1995 Mheshimiwa Juma Hamad Omar
1995-1996 Mheshimiwa Juma Ngasongwa
1997- 2005 Mheshimiwa Zakia Hamdan Meghji
2005–2006 Mheshimiwa Anthony Diallo
2007–2008 Mheshimiwa Prof. Jumanne Maghembe

2008-2010 Mheshimiwa Shamsa Mwangunga
2010- 2012 Mheshimiwa Ezekiel Maige
2012 + Mheshimiwa Khamis Suedi Kagasheki

Una lingine ? Naomba "Like" yangu.
 
Nataka tu kukupongeza kwa kazi nzuri. Au unafanya huko huko nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nataka tu kukupongeza kwa kazi nzuri. Au unafanya huko huko nini?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Sifanyi huko Mkuu, ila katika dunia ya utandawazi hakuna kuficha taarifa ilimradi hazina madhara kwa Taifa. Kwa nikifanya huko ni kosa ? Si ni taasisi ya Umma ile.
 
Sawabho nakushukuru na kukupongeza sana
 
JF ndiyo Ukweli na Uhakika wengine wanaigiza tu
Mkuu Wambi, kujua majina na muda waliokaa itakusaidiaje kufahamu sababu za wao kutokaa muda mrefu ? Hatahivyo, mbona wapo waliokaa muda mrefu au una lako jambo ? Hata hivyo, sio vibaya kufahamu historia ya nchi yako. Ni hawa hapa.

1962-1965 MheshimiwaTewa Saidi Tewa


1965-1970 Mheshimiwa Dereck Bryceson
1970-1975 Mheshimiwa Hosnu Makame
1975-1980 Mheshimiwa Solomon Ole Saibul
1980-1982 Mheshimiwa Isaack Sepetu
1982-1983 Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi
1983-1984 Mheshimiwa George Kahama
1984-1985 Mheshimiwa Paul Bomani
1985-1987 Mheshimiwa Getrude Mongella
1987-1989 Mheshimiwa Arcado Ntagazwa
1989-1990 Mheshimiwa Marcel Komanya
1990-1993 Mheshimiwa Abubakar Mgumia
1993-1995 Mheshimiwa Juma Hamad Omar
1995-1996 Mheshimiwa Juma Ngasongwa
1997- 2005 Mheshimiwa Zakia Hamdan Meghji
2005–2006 Mheshimiwa Anthony Diallo
2007–2008 Mheshimiwa Prof. Jumanne Maghembe

2008-2010 Mheshimiwa Shamsa Mwangunga
2010- 2012 Mheshimiwa Ezekiel Maige
2012 + Mheshimiwa Khamis Suedi Kagasheki

Una lingine ? Naomba "Like" yangu.
 
Sawabho nakushukuru na kukupongeza sana

Asante kushukuru Mkuu, tumesomeshwa kwa kodi ya Umma, kwa hiyo tunawajibu wa kuwatumikia pale inapobidi kufanya hivyo ilmradi hatuvunji sheria za nchi.
 
Sifanyi huko Mkuu, ila katika dunia ya utandawazi hakuna kuficha taarifa ilimradi hazina madhara kwa Taifa. Kwa nikifanya huko ni kosa ? Si ni taasisi ya Umma ile.


NO, NO, NO. Hujafanya kosa kabisa mkuu wangu. Please understand me.
 
Back
Top Bottom