Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana jamii, leo ndiyo siku ambayo hatma ya maisha ya mtanzania kiuchumi kwa mwaka wa fedha 2013/2014 inaenda kuainishwa na waziri wetu wa fedha dr W.Mgimwa pale atakapo wasilisha bajeti ya...
12 Reactions
396 Replies
32K Views
CCM wameanzisha kikosi kazi kinacho anzisha thread hapa jamvini zenye mlengo wa kuwadhihaki wahanga wa BOMU la jmosi na viongozi wa CHADEMA.Nia yao hasa ni kutaka ku pre-determine reaction ya...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeikopi toka kwenye fb wall ya Kamanda.Benny Mao . Nadhani ni uchambuzi unaostahili kuwa pinned kwenye Jukwaa la Siasa Jisomee: Tathimini na uchambuzi wa matokeo ya uchaguzi wa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Polisi wameruhusu watu waingie uwanjani Gari la matangazo limeshawashwa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kila kukicha tanzania kunabadilika ungaidi unatengenezwa hivi 1. Serkali dhaifu isiyojali wananchi wake 2. Makundi ya watu kukandamizwa yakidai haki zao 3.vyombo vya dola kutumika kulinda maslahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bonyeza Vidio MICHUZI: KIJIWE CHA UGHAIBUNI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Sasa imethibitika pasipo shaka kuwa serikali ya CCM haiku tayari uchaguzi ufanyike Arusha. Serikali inafanya hivyo kwa kutumia kisingizio kuwa Arusha hakuna amani na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari,kama Chadema iko tayari kupokea zawadi sh milioni mia kutoka serikalini,kwakuwa CDM wamesema wana Video inaonesha mauaji yalivyofanyika huko...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale vijana 500 waliopewa mafunzo ya kijeshi mbeya umewaacha solemba,hawana kazi za kufanya. Umetuachia shida mbeya yetu,ilitulia sasa tutaanza kupigwa nondo, mbeya tulisha sahau suala la nondo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Naomba Tume ya warioba iongezee maneno hapo kwenye Uhuru wa Kwenda Utakako bila bughudha, yaani iongelee kwa undani uhuru wa abiria. Hapa nchini ni tabia iliyojengekeka kwa abiria kutokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF; Nimechukua muda mrefu kutathmini kauli mbalimbali za viongozi haswa wa CCM kutokana na mlipuko wa bomu katika uwanja wa Soweto-Arusha ambacho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni usitarabu mchafu uliojengeka katika nchi za kiafrica katika kubadilishana madaraka lazima watu wamwage damu. angalia kenya 2007 angalia ivory cost angalia Zimbabwe n.k Nionavyo mimi ifike...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, amesema hataiunga mkono bajeti ya serikali ya 2013/2014 kwa sababu haina jipya ikiwamo kukosekana kwa vyanzo vipya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
mshahara wa mtumishi wa serikali 400,000.00 kodi (paye deduction) 30,000 nssf/ppf/ etc 10% 40,000 jumla ya makato...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
The CCM government is in ICU with an ORTHO-LEAD, should we surely keep on trusting it?
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Kamati ya Bunge kuhusu maswala ya bajeti ya serikali, imekataa pendekezo la SERIKALI KUMNUNULIA rais Mstaafu Mwai Kibaki ofisi itakayogharimi dola milioni 8 HIVI MARAIS WASTAAFU WANAHITAJI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tufuate mfumo wa kiutawala ambao serikali na sheria havitakiwi (ANARCHISM) ili kuukomesha utawala huu wa ajabu duniani.
1 Reactions
2 Replies
912 Views
Kama ni uvumilivu, kweli watanzania tumekuwawavumilivu sana. Serikali yetu imekuwa haiwajali wananchi wake na sasa watanzania tufumbuke macho tuweze kuona mbali tulikotoka, tujitazame tuipo na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii napenda kuwasalimu na kuachia hoja yangu kama inavyojieleza yenyewe. Mimi ni Mtanzania ambaye sina itikadi ya kichama and nimekuwa nikipiga kura katika mfumo wa vyama vingi...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…