Wana jf Nimefatilia sana maongezi kati ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya na mwandishi Balile aliyekuwa anaongoza kamati ya jukwaa la wahariri kuchunguza matukio ya kijinai zidi ya wanahabari na...
Tanzania tumebahatika kuwa na amani kwa mda mrefu ingawa kwa sasa viashiria vibaya vinaanza kuibuka. mambo ambayo yamekuwa yakivunja amani katika nchi nyingi ni pamoja na siasa za nchi, rasilimali...
Waraka wa siri wa katibu wa uchumi na fedha wa CCM wa wilaya ya Mbulu, ambaye pia ni Diwani wa viti maalum anayetoka kata ya Dongobesh Estha Joel umefichua siri nyingi zilizoko nyuma ya ushindi wa...
Kuruhusu jeshi la polisi kuwapiga bila kuwakamata na kuwafungulia mashtaka. Tena unaotaka wapigwe pengine hata kuuwawa ni wananchi unao waongoza eti kwakuwa hawakukubali basi wauwawe. Hiyo kauli...
Jana na Juzi Wakati Tundu Lissu akihojiwa na redio ya Kiislam ya IRAN. alipinga vikali wanaoeneza kwamba baada ya DK SLAA KUGOMBEA URAIS 2010 ndio chimbuko la UDINI kuanza.
Jibu hilo lilikuja...
Akichangia leo bungeni Mh.Hawa Ghasia amesema CHADEMA wanawivu na mkoa wa Arusha, ndio maana maandamano wanafanyia Arusha tu na sio Kilimanjaro kwao.
nia yao Arusha iwe nyuma kimaendeleo.
My take...
Mhariri wa gazeti la habari leo katika maoni ya Mhariri amesema kwamba anaiunga mkono na kumpongeza Waziri mkuu kwa kauli aliyoitoa kwa niaba ya Serikali jana bungeni katika kipindi cha maswali ya...
HABARI NDUGU ZANGU WAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII, BINAFSI HUWA NAPENDEZWA SANA HASA NINAPOSHUHUDIA VIJANA NA WATANZANIA KWA UJUMLA WANAPOPATA MDA WA KUZUNGUMZIA SIASA YA NCHI YAO, NI LAZIMA...
"Kila nikiyaangalia haya maoni kwa kweli sioni tofauti yake na tunachokipigania sisi wana UAMSHO!! hapa nasema alhamdulillah! je upo umuhimu wa muungano wa tanganyika na zanzibar hapo?, si na...
The centre cannot hold when the president looses humiliation upon his ministers
By JENERALI ULIMWENGU
Although William Butler Yeatss poem, Second Coming has to be appreciated for its...
Kwa wapendwa wa siasa za tz,
ccm ni chama labda kisicho na wafuasi wengi lakini ni chama chenye uongozi imara, moja katikanjama za ccm kutika kutafuta njia ya kutawala kwa muda mrefu sana ni...
General Electric Co and Symbion Power Tanzania have signed a co-operation agreement to develop a 400MW gas-fired power plant in Tanzania, a project that could alleviate power shortages in east...
Wakati tunaleta uccm na Uchadema katika masuala ya maendeleo na kuanza kupondana kichama hebu kwanza tujiulize haya maswali then ndo tuanze kubishana baada ya kujiuliza m
Lema kaifanyia nn...
Akichangia bungeni jana,Nchemba amewatuhumu waziwazi viongozi wa dini mkoani Singida,kwa kudai eti walikusanywa na Dk. Slaa wakati wa kampeni,ili wampigie kura kwa misingi ya dini.
Ni dhahiri...
Wakuu JF, Asalaam aleikum,
Binafsi nashangazwa na Kusikitishwa sana na unafiki wa Vyombo vyetu vya Habari.
Vyombo vyetu Vya Siasa Viko Mstari wa Mbele Ku Report Matukio ya Nchi za wenznetu...
Mtela Mwampamba:
kaandika hivi..
"Poleni sana misukule ya Lema. Maana jana kawapampu na leo mko hospital ila yeye na Mbowe wako Protea Hotel wanakunywa Konyagi.Poleni sana vitoweo vya wajinga...
Nimeangalia hii habari iliyorushwa na ITV, nimemsikiliza Mh Freeman Mbowe na Mh Chagonja, Mbowe kaongea kwa Confidence sana tena nje ya makao makuu ya jeshi la polisi. Chagonja pia anadai Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.