Wana JF, naomba kuelimishwa umuhimu, kazi na maana ya hotuba za kambi rasmi ya upinzani. Kila baada ya waziri husika kusoma hotuba/bajeti ya wizara yake, waziri KIVULI naye husoma hotuba yake. Hawa watu wana kazi gani? Bajeti zao zina maana gani? Je hutekelezwaje? Naomba kuelimishwa hapo.